Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Mkuu hapo kwenye red. Kama tukisema tu huyu ni mwizi na kuamini hivyo bila ushahidi na iwe basi naona inakuwa hatari katika utawala wa nchi. Tumeweka mihimili ya utawala ikiwemo mahakama; kama mtu anatuhumiwa kwa wizi ni vyema akapelekwa mahakamani na kupata haki ya kisheria. Ila sasa huyu Rostam kakubali pressure na kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi nadhani sasa ni wakati muafaka apelekwe mahakamni ili sheria ichukue mkondo wake.


Thanks for thinking outside the box

1. The man is still innocent

2. No court of law has found him guilty of anything


Wadau wanavyochangia hii nyuzi ingekuwa wanachangia hivi mwenye mipango ya kuondokana na giza Tanganyika tungepata nuru ya mwanga.

welcome to the jamii forum MOB MENTALITY aka GREAT THINKERS MENTALITY

Hapana Mkuu when it comes to ufisadi na issue za rushwa.., only assumption is enough, tukingoja mpaka tupate proof beyond reasonable doubt tutashangaa nchi imeuzwa na hakuna mtu responsible

So you want to condemn people based on assumptions? are you really serious?


Ni kweli mkuu lakini tatizo liko hapa "Mwanasheria Mkuu wa Serikali and his grp." Sana sana kitakachotokea ni hiki:
1) Mwanasheria mkuu wa serikali akiwekwa kiti moto sana atafungua kesi mahakamani, itakaa miaka then itafungwa/itamalizwa kwa kukosekana ushaidi na Rostam ataibuka kidedea. Then watanzania watamlaumu hakimu/jaji aliyesikiliza kesi wakati mchezo umeshachezwa na mwanasheria mkuu, wapelelezi, polisi etc. Or
2)Serikali itasema haina ushahidi ni mchezo mchafu wakisiasa, hawawezi kufungua kesi mwenye ushaidi apeleke.
Mfano mzuri ni kesi ya Mramba na mwenzie. Hii kesi I guarantee itakwisha muda si mrefu. Imefunguliwa tu kama kiini macho lakini hamna evidence zakuwashtaki hawa watu. Anayeisikiliza kesi ameipa serikali muda wakupeleka/kukamilisha ushahidi lakini hii kesi ni weak mno (hamna ushahidi wakutosha). At the end of the day Mramba na mwenzie wataibuka kidedea. Watanzania watabaki kumlaumu hakimu kama kawaida yetu bila kugundua mchezo mzima. Kumbuka kesi ya Chenge yakugonga mtu, ushaidi uliaribiwa eneo la tukio. Kesi ilifunguliwa tu kama kiini macho na kutokana na kelele za wananchi ilibidi Chenge a-pay something somehow.

Either way those are the laws we have and we have no other option but to bide by our laws and systems

Tell me whaaaat?Hata vibaka wanaochomwa moto na kuuwawa kilj cku ni innocent'There is this one day, wanaowauwa vibaka na kuwachowa moto will show him what hell looks like. Simple! SOB!

Do you agree on presumption of innocence or not?

Huu ni ujumbe kwa wabunge wote wa CCM ambao ni wafanyabiashara, waachie ngazi. Wapo bungeni kwa maslahi yao ya kibiashara na si kuwatumitumikia wapigakura wao.

politics of hate and jealousy
 
Hongera sana Rostam kwa uamuzi huu lakini inaonekana bado una kinyongo kwa wapinzani wako wa kisiasa. Lakini cha muhimu tunachohitaji sisi ni wewe ushitakiwe mahakamani juu ya uhusiano wako na Kagoda Agriculture Limited na Richmond Development Corporation. Kujivua tu nyadhifa si kitu kwa watanzania. Hata hivyo, tunaamini kwamba tukio hili ni muendelezo wa sinema za CCM juu ya kushughulikia Mafisadi wakubwa wa nchi hii.

Kesho na kesho kutwa utaskia Nape anajisifu majukwaani eti 'Tumewavua nyadhifa watuhumiwa wa ufisadi'.
Tunataka pesa zetu.
By TUMBIRI wa MIKUMI

repercussion za hatua hii ya RA are far reaching. ana maswali mengi sana ya kujibu kwenye hizo saga zote ulizoziorodhesha. sijui kijana wake Ngeleja sasa hivi anawaza nini...manake godfather keshatoka atakuwa on the sideline akijaribu ku-influence mambo hapa na pale lkn ndo hayupo uwanjani. najaribu kuwafikiria sitta, mwakyembe sijui watakuwaje saa hizi...kumbe hata RA anaweza shindwa na wapinzani wake wa kisiasa...hahaha thats so amusing...bado Lowassa nae aje na maneno ya kujifariji akitafuta Honourable Exit
 
Kufuatana na news bulletin ya Ch 10 muda mchache uliopita alihutubia kujiuzulu katika mkutano maalum wa CCM Wilayani Igunga. Mtangazaji alisema kuwa baada tu ya kutangaza kujiuzulu nyadhifa zake baadhi ya waliohudhuria walikuwa wakipiga kelele: HATUKUBALI, HATUKUBAL na kuna mtu mmoja alianguka na kuzimia.


Nimeiona hiyo ila nashangaa kutokuwepo kwa video clip ya mkutano huo lakini bila shaka tutaziona baadaye hadi zitukinai. Hata hivyo haishangazi kuliliwa na wapiga kura wake na ndiyo maana alichagua jimbo lake kutangaza kujivua gamba kwani alitaka wananchi waone jinsi alivyokuwa akipendwa.

kama angekuwa jasiri na hana makosa yoyote angechaguwa sehemu yoyote katika Tz, mbali na jimbo lake, ndiyo akatangaze, na aone kitu gani kingetokea kwa watu ambao wangehudhuria huo mkutano wake.

Asitbubabaishe hapa.
 
Ha ha ha! How can the court found him guilty or not guilty without the case? Attorney general office is ruined by politicians; no one does anything for the interest of the country. If Rostam think he is innocent, then he should sue those people (CCM) who accused him of being so called "gamba" to prove his innocence. If he can not do so, then he is giving us (the people) the option of chosing what we want to believe! And guess what the majority believes "He is ....." The burden of proof now is on both sides (CCM and Rostam).

Actually the burden of proof is on his accusers
 
repercussion za hatua hii ya RA are far reaching. ana maswali mengi sana ya kujibu kwenye hizo saga zote ulizoziorodhesha. sijui kijana wake Ngeleja sasa hivi anawaza nini...manake godfather keshatoka atakuwa on the sideline akijaribu ku-influence mambo hapa na pale lkn ndo hayupo uwanjani. najaribu kuwafikiria sitta, mwakyembe sijui watakuwaje saa hizi...kumbe hata RA anaweza shindwa na wapinzani wake wa kisiasa...hahaha thats so amusing...bado Lowassa nae aje na maneno ya kujifariji akitafuta Honourable Exit


Nimeiona hiyo ila nashangaa kutokuwepo kwa video clip ya mkutano huo lakini bila shaka tutaziona baadaye hadi zitukinai. Hata hivyo haishangazi kuliliwa na wapiga kura wake na ndiyo maana alichagua jimbo lake kutangaza kujivua gamba kwani alitaka wananchi waone jinsi alivyokuwa akipendwa.

kama angekuwa jasiri na hana makosa yoyote angechaguwa sehemu yoyote katika Tz, mbali na jimbo lake, ndiyo akatangaze, na aone kitu gani kingetokea kwa watu ambao wangehudhuria huo mkutano wake.

Asitbubabaishe hapa.

Yet, he is still innocent!
 
Sasa naye huyu aliyeachia ngazi ataitwa MSTAAFU(MBUNGE MSTAAFU/M-NEC MSTAAFU) kama wengine waliotangulia kuachia ngazi kwenye regime na kuitwa WASTAAFU na protocol zote kuzingatiwa?
 
Are you really an independent thinker.I don't think you are.Either Rostam kakutuma au humfahamu.Taarifa na utafiti niliofanya all prove that he is a sleeper agent.

Na hapa ndipo pa kuwadhihilishia kuwa TUNAWEZA KAMA ZAMA ZA MWALIMU WATATUHESHIMU MANAKE SIO TU MR PRESIDAR ''UNALIA SIJUI WATAKUJA KWA STAILI GANI''
 
Sasa cha muhimu ni Chadema kuchukua jimbo kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika kumchagua mbunge mwakilishi wa Igunga. Hapa inabidi tuinyeshe CCM kwamba kazi wanayo 2015 maana nchi si yao tena.
 
Huu jamaa haondoki hivi hivi, kisasi atalipa na huu ni mwanzo wa matukio mengiiii CCM. Kikwete ana kazi inamsubiri
 
Rostam is an epitome of a matured politician, at least you have proved to them CHADEMA that CCM walks its talks. We are now waiting to hear same thing from EL and comrade Chenge.
 
There are currently 2499 users browsing this thread. (369 members and 2130 guests)


Who is Next?? ...................................................................................!!!!!!


Wacha fujo! khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Haya bado ngeleja, jk, lowassa, chenge.


I like this Tanzania bila ufisadi inawezekana. Na hao hapo juu nasikia tayari wamekimbilia c h o o n i maana walikuwa wanasubiri kuwadi wao mkuu atangulie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huu jamaa haondoki hivi hivi, kisasi atalipa na huu ni mwanzo wa matukio mengiiii CCM. Kikwete ana kazi inamsubiri

Huyo atakayesimamia mission zake naye wakimjua ni kula nae sahani moja mpaka wajue anafaidika na nini wakati hiinimovement kwa faida ya Taifa
 
Thanks for thinking outside the box

So you want to condemn people based on assumptions? are you really serious?

Mkuu not assumptions kwenye uongozi na hizi kazi za madaraka you need to be squeaky clean.., harufu yoyote ya rushwa na ufisadi he/she needs to step down na akajaribu kazi nyingine..., try umachinga, barmaid au biashara for all I care. Hapa hatutaki tukushike na ngozi ndio tujue umeiba.., !!!!

if one person calls you a chicken you say maybe they are crazy,
if two people calls you a chicken you start wondering, maybe am a chicken...
if 3 people say you are a chicken you better start laying some eggs...


Kama kila mtu anasema wewe ni Fisadi.... Sure as Hell wewe ni Fisadi
 
Huu ni ushindi kwa wapambanaji dhidi ya UFISADI (bila kujali chama). Hakuna cha mahakama wala cha nini, mtindo ni mmoja wa magamba kujidondosha yenyewe. Huyu bwana alikuwa ni chief architect wa EPA pamoja na wajukuu zake: KAGODA na MEREMETA ambao walichangia ushindi wa kishindo wa Mhe Dkt Dkt Dkt JK wa 2005. Baadaye akawa chie engineer wa DOWANS binti RICHMOND ambayo imechangia hiki KIZA tunachokishuhudia leo hii. Huyu bwana atapata jahanamu yake hapa hapa duniani!!!
 
Hii ni record kwenye JF. Bado nasubiri uthibitisho kutoka kwa CCm na kama inawezekana kwa RA mwenyewe
There are currently 2503 users browsing this thread. (359 members and 2144 guests)

 
There are currently 2502 users browsing this thread. (361 members and 2141 guests)

weraa weraaa! JF haina motrooo!! hapo kwenye blue JK na Nape huwakosi.
 
Back
Top Bottom