Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Actually the burden of proof is on his accusers


Ha ha! You say so because you know (CCM) as the accuser have no guts of taking him to court. Your doing good job defending him legally, but you can not change his image (especially politically) to the society, unless he put his effort to do so. If what your saying was applicable in Tanzania no one would bother to burn those vibakas in the street (take matters on their hand). So, although your trying hard to defend him legally here, I doubt if it is worth the effort. I should also remind you; you are in "Jukwaa la Siasa" and not "Jukwaa la Sheria" so that being said your playing soccer in a basketball field.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mkuu not assumptions kwenye uongozi na hizi kazi za madaraka you need to be squeaky clean.., harufu yoyote ya rushwa na ufisadi he/she needs to step down na akajaribu kazi nyingine..., try umachinga, barmaid au biashara for all I care. Hapa hatutaki tukushike na ngozi ndio tujue umeiba.., !!!!

if one person calls you a chicken you say maybe they are crazy,
if two people calls you a chicken you start wondering, maybe am a chicken...
if 3 people say you are a chicken you better start laying some eggs...


Kama kila mtu anasema wewe ni Fisadi.... Sure as Hell wewe ni Fisadi[/QUOTE]

Mkuu kila mtu ni nani? Haya ya kila mtu ndiyo yanatufikisha pabaya!! Kila mtu akisema huyu ni chaguo la mungu basi inakuwa na kila mtu akisema huyu ni fisadi basi inakuwa!!! Kama ni hivyo basi tena!!
 
Natamani sana huyo fisadi awe kweli amefikia uamuzi huo. Labda itakuwa mwanzo mzuri wa wengine kufuata mkondo. Otherwise huenda ameahidiwa kuwa protected
 
Kawalaani vikali nnape na chiligati, amekiri kuna minyukano mikali ndani ya CCM. Pia amejigamba sana juu ya utajiri (UFISADI) wake ni wa kimataifa, hivyo anaona bora kujikita zaidi na mambo yatakayo mpa utajiri zaidi..BAADA YA KUCHUMA NA KUVIMBIWA AMEONA ajiengue apate mda wa kutanua. Nashauri immediate legal actions dhidi ya tuhuma zote zinazomkabiri. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kwani ni hao tu mbona list ya mafisandi ni zaidi ya 1000?
 
Nikitambo Mtangazaji wa habari ambaye anahistoria ya kufeli sana mpaka akaona utangazaji ambao nao ni urafiki tu ndio unamweka mjini anajisikiaje sasa wakati fisadi huyu kati ya watatu amejivua gamba......kwako kibonde jitahidi kusoma harama za nyakati....jitahidi kusoma vitabu zaidi itakusaidia kujua cha kuongea.


Bw. Kibonde alidai kua watu wanaacha kujadili maadui wa3 wanaojulikana ambao ni Ujinga, maradhi na umasikini wao wanabaki kujadili watu.

Kwa mujibu wa Bw. Kibonde, ni vyema kama kuna mtu anaehisi fulani ni mwizi basi akampeleka mahakamani kuliko kubaki kulalamika pembeni .

haya sasa kajiukumu mwenyewe...
 
Bado afuate jk'lowasa'chenge'ngeleja'sitta'makinda'na ccm wote yaani hiki chama kife kabisa na mali zetu warudishwe
 
Mwanangu Azizi we Jembe nimekukubali, uamuzi wako unaonyesha kweli we ni dume, wasikutishe hao wahuni na Mafisad wa Kichaga wa Chadema wamejaa maneno mengi ukiwachunguza zaidi utagundua fikra na matendo yao yapo kujinufaisha wao kama wachaga na sio jamii ya Tz. Wanaigunga tutakukumbuka sana kwa michango yako ndani na nnje ya Igunga. We gona mic u R Azizi.
 
Hatimaye Zitto exposes Meremeta scam. Bomu la meremeta linatisha mara tatu ya bomu la Radar.Zaidi ya dola milioni mia moja na thelathini na mbili za walipa kodi zatumiwa kulipa deni la dola Milioni kumi . Du hawa mafisidi were hell bent,eye balls out to utterly ruin this country and sure as hell they have done it. Shuhudia umaskini wa mtanzania, giza lisokuwa na mfano,elimu duni,pathetic health care etc etc.
 
Mwanangu Azizi we Jembe nimekukubali, uamuzi wako unaonyesha kweli we ni dume, wasikutishe hao wahuni na Mafisad wa Kichaga wa Chadema wamejaa maneno mengi ukiwachunguza zaidi utagundua fikra na matendo yao yapo kujinufaisha wao kama wachaga na sio jamii ya Tz. Wanaigunga tutakukumbuka sana kwa michango yako ndani na nnje ya Igunga. We gona mic u R Azizi.

Hapo penye blue sidhani kama was necessary. Unakiabisha hata chama cha Rostam alichokipenda mpaka kuamua kuvua nyadhifa zote lakini kubaki na kadi ya chama. Labda ni kukumbushe tu kuna wachaga muhimu sana ndani ya CCM akiongozwa na mzee Kisima (mshauri mkuu wa chama), Salakana, Mama Mkapa, Waziri Chami, Mama Sumaye, Mama Nsilo Swai, Mzee Mengi, Aggrey Marealle etc sijui na wao je wako kujinufaisha wao kama wachaga na sio jamii nzima? Au hili panga la ukabila linakata upande mmoja tu. Hivi kwa lugha hizi za Nape & Co CCM inahitaji kweli majimbo ya Kilimanjaro miaka ijayo?
 
Kweli huyo ndio kesha achia nafasi hizo,lakini bado mengi yatafuata,manake ukinganganizi wake na marafiki zake umeiponza CCM kwenye jamii.Tena wakati anatangaza imesikika kwenye taarifa ya habari CLOUDS kama alikuwa ANAZOMEWA hasa aliposema anaachana na SIASA UCHWALA.
Usitake kupotosha watu walikuwa wanasema hawakubali yeye kujiuzuru walisikika wakisema HATUKUBALI wakasema tena Hawawataki Nape na Sitta.
 
Mie nlijua mpaka kadi anarudisha sasa mbona co kujivua gamba nilivo kuwa nawaza.
 
Hatimaye Zitto exposes Meremeta scam. Bomu la meremeta linatisha mara tatu ya bomu la Radar.Zaidi ya dola milioni mia moja na thelathini na mbili za walipa kodi zatumiwa kulipa deni la dola Milioni kumi . Du hawa mafisidi were hell bent,eye balls out to utterly ruin this country and sure as hell they have done it. Shuhudia umaskini wa mtanzania, giza lisokuwa na mfano,elimu duni,pathetic health care etc etc.
Chombo kimenda mrama poor Tanzanians cling to the wreck hoping to make it ashore.
 
once again jf has proven 2 be reliable source. cause b4 we had alot of dought about dis.
 
Kwa usanii huu wa CCM ni hatari sana. Naona na sisi wanatuchezeea na tunakubali.
 
Back
Top Bottom