Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Kujiuzulu haitoshi, na pesa yetu arudishe!

Hii sinema ndio kwanza inaanza; cdm kaeni mkao wa kula mfadhili anakuja huyo! Najua baada ya hapa ni kufanyiziana mbele kwa mbele, wale waheshimiwa wabunge waliofika hapo walipo kwa msaada wa huyu bwana mkubwa, jitukezeni mhesabiwe ili tumpeleke huyu bepari mbele ya sheria.
 
Pesa yenu ipi?
 
hakiyanani mods wakiamua kuzuia guests kufungua hii thread utaona idadi ya members ikiongezeka including new members.
 
hakiyanani mods wakiamua kuzuia guests kufungua hii thread utaona idadi ya members ikiongezeka including new members.

hao guest ni muhimu kaka ili ujumbe ufike,
mtu kama jk hawezi kuwa member kwa makosa aliyowafanyia watanzania .
JF inalenga kufikisha kilio cha watanzania, sema tatizo ni kwamba jk ni dhaifu sana hana uwezo wa kusikiliza kilio cha watanzania

watachosema hao ni wapinzania tu
 
Folks,

1. Do not copy the whole speech when quoting or responding to one part of the speech. Just copy or quote what you want to respond to. All members have an equal access to the full speech in the first post.

2. Do not copy the names of the members visiting the thread, be it one or 1000; all members have the same access to see the names and the number of people visiting the thread.

If you somebody contravene the above he/she will face a ban - no explanation will be given. We have to consider that quite a good number of our members visit the site through mobile devices.

For Admin.
 
Dah kweli tuna kazi ndefu sana!! wabeba box mpaka sasa hawaamini hii taarifa...!!This is confirmed wazee!!Bungeni ishatangazwa na Naibu Spika!!
 
ROSTAM ABDULRASUL AZIZ,Mbunge wa Igunga,Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM amejiuzuru nyadhifa zote ndani ya CCM pamoja na Ubunge wa Igunga.Taarifa rasmi aliyoitoa katika vyombo vya habari itawajia baadae............
 
Huyo atakayesimamia mission zake naye wakimjua ni kula nae sahani moja mpaka wajue anafaidika na nini wakati hiinimovement kwa faida ya Taifa

Ni kweli rejea gazeti la Mwanahalisi la leo, majadiliano ya Nape na Bashe , Bashe anawakubali sana mafisadi
 
ROSTAM ABDULRASUL AZIZ,Mbunge wa Igunga,Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM amejiuzuru nyadhifa zote ndani ya CCM pamoja na Ubunge wa Igunga.Taarifa rasmi aliyoitoa katika vyombo vya habari itawajia baadae............

Hakuna cha mapacha wala nini, hapa kila mtu anbeba msalaba wake!
 
Dah kweli tuna kazi ndefu sana!! wabeba box mpaka sasa hawaamini hii taarifa...!!This is confirmed wazee!!Bungeni ishatangazwa na Naibu Spika!!
unaongea kifisadi ni ccm ndiyo imepelekea watu kubeba box
au na wewe ni fisadi omba radhi mkuu, watu tunateseka kwa sababu ya siasa za ccm wewe unasema wabeba box wanaimani nguvu
hao ni magamba au wanamageuzi wanaosubiria siku kama hii kwa hamu
 
Back
Top Bottom