threadcritic
Member
- Jul 12, 2011
- 27
- 1
Mkuu hapo kwenye red. Kama tukisema tu huyu ni mwizi na kuamini hivyo bila ushahidi na iwe basi naona inakuwa hatari katika utawala wa nchi. Tumeweka mihimili ya utawala ikiwemo mahakama; kama mtu anatuhumiwa kwa wizi ni vyema akapelekwa mahakamani na kupata haki ya kisheria. Ila sasa huyu Rostam kakubali pressure na kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi nadhani sasa ni wakati muafaka apelekwe mahakamni ili sheria ichukue mkondo wake.
Thanks for thinking outside the box
1. The man is still innocent
2. No court of law has found him guilty of anything
Wadau wanavyochangia hii nyuzi ingekuwa wanachangia hivi mwenye mipango ya kuondokana na giza Tanganyika tungepata nuru ya mwanga.
welcome to the jamii forum MOB MENTALITY aka GREAT THINKERS MENTALITY
Hapana Mkuu when it comes to ufisadi na issue za rushwa.., only assumption is enough, tukingoja mpaka tupate proof beyond reasonable doubt tutashangaa nchi imeuzwa na hakuna mtu responsible
So you want to condemn people based on assumptions? are you really serious?
Ni kweli mkuu lakini tatizo liko hapa "Mwanasheria Mkuu wa Serikali and his grp." Sana sana kitakachotokea ni hiki:
1) Mwanasheria mkuu wa serikali akiwekwa kiti moto sana atafungua kesi mahakamani, itakaa miaka then itafungwa/itamalizwa kwa kukosekana ushaidi na Rostam ataibuka kidedea. Then watanzania watamlaumu hakimu/jaji aliyesikiliza kesi wakati mchezo umeshachezwa na mwanasheria mkuu, wapelelezi, polisi etc. Or
2)Serikali itasema haina ushahidi ni mchezo mchafu wakisiasa, hawawezi kufungua kesi mwenye ushaidi apeleke.
Mfano mzuri ni kesi ya Mramba na mwenzie. Hii kesi I guarantee itakwisha muda si mrefu. Imefunguliwa tu kama kiini macho lakini hamna evidence zakuwashtaki hawa watu. Anayeisikiliza kesi ameipa serikali muda wakupeleka/kukamilisha ushahidi lakini hii kesi ni weak mno (hamna ushahidi wakutosha). At the end of the day Mramba na mwenzie wataibuka kidedea. Watanzania watabaki kumlaumu hakimu kama kawaida yetu bila kugundua mchezo mzima. Kumbuka kesi ya Chenge yakugonga mtu, ushaidi uliaribiwa eneo la tukio. Kesi ilifunguliwa tu kama kiini macho na kutokana na kelele za wananchi ilibidi Chenge a-pay something somehow.
Either way those are the laws we have and we have no other option but to bide by our laws and systems
Tell me whaaaat?Hata vibaka wanaochomwa moto na kuuwawa kilj cku ni innocent'There is this one day, wanaowauwa vibaka na kuwachowa moto will show him what hell looks like. Simple! SOB!
Do you agree on presumption of innocence or not?
Huu ni ujumbe kwa wabunge wote wa CCM ambao ni wafanyabiashara, waachie ngazi. Wapo bungeni kwa maslahi yao ya kibiashara na si kuwatumitumikia wapigakura wao.
politics of hate and jealousy