EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Pia,nimtahadharishe Bashe,asije akawa na wazo la kugombea Igunga akitazamia kupata sapoti kutoka kwa Rostam Aziz,atakuwa amejizika kisiasa.Ana haki ya kugombea kikatiba though lakini angalie dhamira yake.
Mkuu umenikumbusha bifu yake na Kigwangalla ambapo Bashe ame declare:
"Wapo wanahabari waliokuwa wananieleza juu ya mipango hii mliokuwa mnaifanya na ilifahamika mapema ,but I said to my self sijajiunga CCM kwa ajili ya UBUNGE tu nitagombea nitashindwa nitakatwa lakini nitabaki ndani ya CCM kutimiza wajibu wangu,na unafahamu hili kwa 2015 u will face me again if god wish,politically u have never been threat to me jimbo la nzega ninafahamu mtu pekee ambae ninaamini ni threat kwangu ni LUCAS LUMAMBO SELELII not you."
Kwa vile ameshamwambia Kigwangalla he will face him again 2015, then he should better stick with that. Akibadilisha na kuamua kugombea sasa Igunga, badala ya kusubiri mpaka 2015 ili agombee Nzenga, then probably that will be the end of Bashe in politics.