Bado sina uhakika na habari hii ni kweli au la kwasababu inawezekana mtu ameandika tu kujua maoni ya watanzania yakoje. Ila kama ni kweli hii calculated move towards 2015 election. Hebu tafakarini wanajamvi Lowassa ameanza kuikosoa serikali, mara tunamwona kipaumbele katika maafa, misaada ya ujenzi wa shule (zamani alikuwa haonekani hasa alipoachia madaraka ya uwaziri mkuu). Kwakuwa ndani ya chama kuna waka moto mbio sasa zimehamia katika wafuasi wa CCM kuonyesha nani anayekubalika zaidi ndani ya chama.
Tafakari mdanganyika, Lowassa misaada kwa wingi na kukosoa serikali aliyokuwamo mwenyewe, rostam kajiuzulu kukijenga chama= 2015 presidential nomination and campaign.
Nilikuwapo