Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Atafata Chenge, Lowasa, Kikwete....Hebu nikumbusheni jamani.............hivi hii ni Episode ya Ngapi katika Movi ya kujivua gamba?? Ila kitakachotokea next.............
Atafata Chenge, Lowasa, Kikwete....Hebu nikumbusheni jamani.............hivi hii ni Episode ya Ngapi katika Movi ya kujivua gamba?? Ila kitakachotokea next.............
CCM tumeonyesha njia twasubiri CDM mfukuzeni Dr. Slaa kwa wizi wa mke wa watu!
CCM tumeonyesha njia twasubiri CDM mfukuzeni Dr. Slaa kwa wizi wa mke wa watu!
There are currently 651 users browsing this thread. (142 members and 377 guests)
hawa watu wasikushangaze.. % kubwa walipiga kura za kuirudisha magamba madarakani last year.. Sasa hivi mgao unawapiga hadi mata**i.. 2015 wanasahau tena wanaipa magamba ..pumb*** zao.Rostam Aziz is:?
Mbona hata ubunge kasema anachia jaman.Tunahitaji aturudishie fedha zetu kwa njia ya mahakama. Avue asijivue, ipo siku tutamvua! Na tusipowavua wote kwa pamoja basi tutawagonga vichwa wafe kwa mkupuo!
CCM tumeonyesha njia twasubiri CDM mfukuzeni Dr. Slaa kwa wizi wa mke wa watu!
Omary mnajidanganya, the guy is comming up with the 2nd tactic - game is just starting my friend, msije mkagongesha glass za wine, fikisha ujumbe huu kwa NAPE as well. CCM IS NOT SAFE:Mlisema hayawi sasa yamekuwa, haya wapiga vinanda wa CDM, semeni jingine. CCM oyee.