Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Msiwe matomaso wakuu, tayari jimbo li wazi hilo -- ngoja niwahi form pale kinondoni. lol

Hoja: Kama CCM ina siasa za kuchafuana kwa nini asirudishe na kadi kabisa ili awe mfanyabiashara 100%? na kwa nini alichanganya biashara na siasa miaka yote hiyo wakati anajua kuchanganya SIASA na BIASHARA hairuhusiwi kisheria ktk nchi yetu? (Miiko ya uongozi). Je tukisema alitumia SIASA kujificha na kukwapua tender kubwa kubwa serikalini tutakuwa tumekosea? Ana hisa kiasi gani kwenye makampuni ya Kitanzania? Caspian, Vodacom na mengineyo?

RA bado una hoja za msingi ambazo watanzania tunajitaji majibu:

 
hehe, CHADEMA changamkieni jimbo hilo. Hongera sana Rostam kwa maamuzi hayo. Mimi nilidhani anarudisha na kadi ili abaki bila chama. Sasa kama anasema CCM inaendesha siasa uchwara anabakije tena ndani ya chama chenye siasa uchwara?

Jimbo atamwachia Bashe. Atamfanyia kampeni kali hata kama anafilisika lakini uwepo kwake katika medani za siasa anakabidhiwa Bashe.
 
Kama ni kweli leo natwanga lager kwa wingi gamba moja kweshineni.Angejivua uraia wa Tanzania hakika leo ingefaa kuwa siku ya mapumziko.

akijuvua uraia tanzania c wananchi watakufa njaa
Maana tetesi zinahabarisha kuwa mara kadhaa hata salary zA WATUMISHI ANAIKOPESHA GOVERNMENT!
 
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Mulugo Augustino Philipo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Songwe Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
HIVI DATA ZA HUYU RA,JUU YA MICHANGO YAKE BUNGENI ZIKOJE? SIO KM HAPO JUU KWELI
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tetesi hii mbona imezidi humu jamvini?? sasa tunataka habari ya uhakika, mara yuko igunga-tabora, mara kaingia kwenye ofisi za habari corporation. Ofisi hizo ziko tabota au Dar es Salaam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hapo penye red ni mji gani huo? au nchi imemegwa bila rai kujua?
 
Binafsi nimeguswa sana na hii kauli yake ambayo amewatega magamba nanukuu "Kwa upande mwingine, uamuzi wangu huu naona ni fursa kwa viongozi wa Chama changu cha CCM kutafakari na kuamua njia wanayoiona wao ni sahihi kuichukua kwa hatima na mustakabali wa chama chetu na ambayo wanaamini itakipa nguvu mpya ya kisiasa dhidi ya vyama vya upinzani".mwisho wa kunukuu.

Jamaa anajua fika tatizo siyo yeye tu hata mkuu wa nchi naye anatakiwa kuachia ngazi naye abaki na kadi tu maana kuondoka kwake siyo suluhisho. Na kwa kuanzia tu atahakikisha jimbo la Igunga linachukuliwa na upinzani halafu atawaambia watanzania simulisema kushindwa kwa CMM ktk uchaguzi 2010 chanzo alikuwa yeye mbona sasa ameondoka na bado jimbo limechukuliwa na upinzani?
 
akijuvua uraia tanzania c wananchi watakufa njaa
Maana tetesi zinahabarisha kuwa mara kadhaa hata salary zA WATUMISHI ANAIKOPESHA GOVERNMENT!

hata mimi nimeisikia hiyo kutoka kwa mtu ndani ya serikali!!
 
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Mulugo Augustino Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Songwe Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]HIVI DATA ZA HUYU RA,JUU YA MICHANGO YAKE BUNGENI ZIKOJE? SIO KM HAPO JUU KWELI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na hapo ndipo inadhihirika kwamba huyu RA alitaka ubunge si kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi, bali ni kujijenga kibiashara. sasa imekula kwake!
 
A dark day in the history of tanzania,a behind the scenes de facto president of the countryhas called it quits,the question is will he continue pulling strings from behind the curtain,and will these new CCM enforcers,the nape"s survive his claws-only time will tell
 
Jimbo atamwachia Bashe. Atamfanyia kampeni kali hata kama anafilisika lakini uwepo kwake katika medani za siasa anakabidhiwa Bashe.

ila ameandika hotuba yake nzuri - ukiisoma unaona kabisa kama ameonewa - ingawa hakuna mtu yoyote atabisha kwamba jamaa ameisaidia sana CCM - ila ndiyo hivyo wamemgeuka. so sad.

Wakuu hebu nfafanulieni ina maana ana uhakika jimbo linarudi CCM?

"Nafanya hivyo nikiwa na imani thabiti kwamba, uamuzi wangu huu, hususani ule wa kuachia nafasi yangu ya ubunge, yatakipa fursa nyingine CCM ya kuendelea kuliongoza jimbo letu la Igunga katika kipindi cha miaka minne ijayo kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015."

na hii hapa inaonyesha uchungu alionao

"Pili, nilishangazwa na kushitushwa na hatua ya viongozi wa chama changu ambacho nimekitumikia kwa bidii na uaminifu mkubwa kufanya juhudi kubwa hata kukivisha kikao kitukufu cha NEC uamuzi ambao msingi wa hoja zake ni vita vya kimakundi ya kisiasa yaliyo ndani ya CCM kwa upande mmoja na propaganda za vyama vya siasa vya upinzani na vyombo vya habari kwa upande mwingine."
 
Yaan tokea asubihi Mzee mwanakijiji yuko hapa, leo hujalala
maana mida ya kucomment ni usiku

Kama hakuja home jana kamwanzishie thread kule jukwaa la MMU. lol
 
kaachia pia ubunge. Hii kauli yake:

"Kutokana na ukweli huo na sababu zote hizo basi, kwa moyo wa dhati na kwa nia thabiti, hatua ya kwanza niliyoiona kuwa ninapaswa kuichukua ilikuwa ni hii ya kuitikia wito unaotokana na msukumo wa ndani ya nafsi yangu wa kuamua kukomesha kabisa malumbano na mivutano isiyo na manufaa kwangu binafsi, kwa viongozi wa chama changu na chama chenyewe.

Msukumo huo si mwingine bali ni ule wa kuamua kuachia nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama, nikianzia na ile ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa nikiuwakilisha Mkoa wa Tabora na hii ya ubunge wa Igunga ambazo kama si kwa baraka za chama changu nisingelikuwa nazo.
 
Anatikisa kibiriti tu......next move hao wazee watamwomba abadili uamuzi.....kama kweli ameachia ubunge alitakiwa amtaarifu spika
 
Back
Top Bottom