klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
mimi nitakuwa nakwenda kugonga senks tu halaf nalejea chit chat. ile sredi wameifuta kwasababu wamegundua kwamba hilo jukwaa linaboa kweli. huyo husninyo wenyewe aloanzisha sredi anaboa vile vile lakini tunamgongea senksi kwavile tuna maslahi binafsi na yeye tu.MMU Kwishney!!! Leo hakuna kitu kabisa kule kumepoa.
Halafu thread ya MMU inaboa imekwenda wapi??