Rose1980

Rose1980

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
900
Reaction score
274
Rose1980: namkumbuka sana huyu dada knye michango yake mizuri sana, muda mrefu sijamwona na kajicho ka kukonyeza naomba mwenye taarifa zake atujuze au kama kala ban tujue au yupo na id nyingine tujue naumia kutokujua alipo, najua hili ndio lilikuwa jukwaa lake.
 
Hajala Ban...Yupo tu majukumu mengi atakuwepo soon

Unafahamu anashabikia timu gani kati ya Man U na Bwawa la maini aka Liverpool?
 
Kuna watu wanalumbana JF mpaka wachangiaji wengine wanaamua kuwa watazamaji tu
 
Hajala Ban...Yupo tu majukumu mengi atakuwepo soon

Unafahamu anashabikia timu gani kati ya Man U na Bwawa la maini aka Liverpool?

mkuu mambo ya Man sijana? huyu dada sijamuona zaidi ya mwezi sasa
 
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.
 
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.

bado sijaamini mi nipo kama tomaso, tumia ile id yako na aveta yako ya kijicho kuprove!
 
Hata mi nimemmis Rose ana maneno sana ila haboi.
 
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.

umebadilisha ID hadi na namna ya comments zako!
 
LD = Rose1980 ?? Haata mimi nimemmiss huyu dada!
 
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.

mwongo kubwa wewe, details zako apo juu za kujoin, post na thanks haziendani na zake..
 
Back
Top Bottom