Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Kuna mdada alikuwa anaitwa Amina naye pia alishindikana kabisa, bahati akaenda sober house ya Kigamboni na amepona kabisa walahi
Rose aendelee kumtafuta Mungu wake tu walahi
walai unaitumia sehem kibao hadi comment inakera kuisoma
 
Huyo manager yuko wapi aje akanushe ama atubu Na aombewe. Je ile story ya unga Na uteja ilikuwa kweli? Mtawatambua kwa matendo yao Na ushuhuda wa yesu
 
Unaweza kwenda kanisani na nguo fupi!???
Wajinga ndio waliwao, wewe endelea kuliwa, maana yangu ni kwamba kaenda na kanga/kitenge akijua kabisa kuwa ataanguka ili wamfunike. Aidha, unaona kuwa anajitambua kabisa maana baada ya kuanguka kaivuta sketi watu wasione vya ndani. Kama kweli mashetani yamepanda, hiyo akili ya kuvuta skirt imetoka wapi.
 


Watanzania muache Uchawi.View attachment 941401

Jamani Rose kama mwanadamu wa kawaida naye anayo haki ya kupendwa, kut*mbw@ na kuishi kama watu wengine hapa duniani. Mwacheni binti wa watu apumzike ijapokuwa anapitia kipindi kigumu ktk maisha yake...hadi kufikia hatua ya kusaidiwa f5 ya nauli si mchezo! Kama kweli meneja wake anamfanyia vigisu baada ya kumt*mb@ na kumzalisha, Mungu anamuona.
 
Mbona ana madonda mengi sana miguni?? Duh Grade ya taifa ilisha pita na mtu hapa
fb_img_15427918734952187-jpeg.941401
 
Inawezekana kabisa mkuu...it looks like comedy!
Angalia hata baada ya kuanguka Rose amevuta skirt maeneo nyeti yasionekane. Ni mapepo gani ynamwachia mtu akili ya kukumbuka kuwa atakuwa uchi ili ajisitiri ?Halafu akaenda na kanga/kitenge ili akianguka afunikwe.
 
Wajinga ndio waliwao, wewe endelea kuliwa, maana yangu ni kwamba kaenda na kanga/kitenge akijua kabisa kuwa ataanguka ili wamfunike. Aidha, unaona kuwa anajitambua kabisa maana baada ya kuanguka kaivuta sketi watu wasione vya ndani. Kama kweli mashetani yamepanda, hiyo akili ya kuvuta skirt imetoka wapi.
Mkuu unatisha hata mimi nimeliona hilo,ndugu zangu watanzania naombeni kujua wakati Rose akiimba likuwa anaabudu kanisa gani la kiroho au kwa mchungaji yupi naona hapo alipofanyiwa maombi kwa umri wake kiroho nimeona siyo mahali sahihi na je hapakuwa na watumishi Tanzania ambao wangemwombea kuliko huko.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom