Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Unaweza kukuta huyu Pastor Ng'ang'a amempatia Rose fungu ili aaanguke amtengenezee ili Mchungaji apande Hadhi Kipande hiyo, imekuwaje amejiandaa kwa kwenda na nguo ndefu !!!

Mkuu, halafu umeona kaivuta sketi watu wasione 'uvungu' (paja)! Yaani fiksi tupu!
 
Usiombee yakupate ndugu yangu wewe walahi ooh
Kabisaaa.
Mm si shabiki wa huyu dada lakin kwa jambo hili ni vyea ukalitazama kibinadam.
Everyone in life is fighting a certain battle to free him/herself hasa haya mambo ya addiction.
Kuna mtu mwingine anaingia kwenye addiction flan kwasababu mbalmbal na zingine bila kupenda na anapambana kutwa kuchwa kuacha lakin sio rahis.
Msimhukum maana ya kwako hayajawa waz bado au hayajakukuta
 
Dona la Pakistan ni kama busu Kwa nge,jiandae maumivu,juzi nimemuona chid Benz Morocco nilijua ni kitoto cha pre standard one
 
Watu wa Dodoma hasa viunga vya Kikuyu mnamjua vzr sana huyu mwadada Rose Mhando.

Yuko yukoje tafadhari ?

Ana familia?

Nani humgegeda kikonki konki ?
 
Watu wa Dodoma hasa viunga vya Kikuyu mnamjua vzr sana huyu mwadada Rose Mhando.

Yuko yukoje tafadhari ?

Ana familia?

Nani humgegeda kikonki konki ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom