KERO Airtel, huyu Meneja wa Operesheni anawaharibia sifa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba kuwasilisha tatizo lililopo mtandao wa simu Airtel, kuna Meneja wa Operesheni ni Mnigeria ananyanyasa sana wazawa Watanzania, anatumia lugha za udhalilishaji pamoja kutishia kufukuza kazi wazawa.

Wazawa wamesha mripoti kwa HR Manager lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa... tunaomba upost changamoto hii iwafikie viongozi wa serikali wawasaidie wazawa.

Jambo lingine ni kuwa kazi anayofanya ya Manager wa Oparesheni inaweza fanywa na Watanzania.
 
Ripoti Kwa waziri wa kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom