Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,413
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Walokole wengi ni wanafiki na wasanii mno.
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Walokole wengi ni wanafiki na wasanii mno.
Huruma ya nini teja hilo.Huruma duh walahi
Sawa sawa kabisaYote yawezekana kwa Mungu. Naamini kwa sababu Dada Rose Muhando kamkimbilia Mungu amesalimika. Maisha yake kipindi hiki na kijacho yatakuwa bora zaidi ya vipindi vyote vilivyopita! Hayo ni Maandiko yamesema hivyo. Wale wanombeza, walitaka amkimbilie nani?! Mungu anataka tumwendee jinsi tulivyo naye amesema hatatukana bali atatupokea muda wowote. Libarikiwe jina la Bwana