Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi