Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

Sioni tatizo kwenye hiyo tweet ya mdada, polisi ndio wanapenda kuleta sintofahamu kwenye mambo yasiyo na maana, tena bora huyo dada kasema Rais hawezi mambo makubwa akimaanisha anayaweza madogo, mimi kwangu hata hayo madogo hayawezi kwani teuzi anazofanya nyingi huzitengua hata kabla ya masaa 24 kupita.

Natumai polisi baada ya mahojiano yao na huyo dada watamuachia huru, muhimu wasimpachike kesi ya upngo kwa kuja kutuambia wamemkuta na Cocaine.
Huyo Muyemba hayo makubwa anayaweza?
 
Unauunga mkono ujinga wa akina MBOWE halafu unaishia kulala rumande miezi kadhaa huku ukiwa na familia yenye CHANGAMOTO KUBWA ZA KIUCHUMI....

Mwenzao Mbowe ana mahoteli na MAJUMBA mpaka DUBAI NA LONDON....kamwe huwaoni WATOTO WAKE WAKIWA "FRONT" katika siasa.....

Ama kweli AKILI NI NYWELE.....

#MkanyeAkirudiAkiendaMwache
#KaziIendelee
 
Tweet yenyewe hii hapa

View attachment 1845948

Mungu ibariki Tanzania
Hapo naona aya mbili tofauti

Ya kwanza inasema, "Rais tayari ameanza kujibu mapigo ya wapinzani, madai ya wapinzani ameyaita"

Aya ya pili inasema, " "CHOKOCHOKO"... Hizi ni dalili tosha kwamba uwezo wake wa kuhimili mambo mazito ni mdogo sana. Kuna kila dalili akakosa uvumilivu mapema. Matumizi ya dola hayakwepeki. TUJIANDAE"

Wizara ya mambo ya ndani tafuteni namna ya kuajiri watu wenye taaluma ya sheria wasaidie kufanya hizi kazi, kudeal na wanasiasa wa upinzani sio sawa na kudeal na vibaka au majambazi. Mtashindwa mahakamani
 
Nimegundua kiti cha uraisi ni hot seat , 😀😀😀😀 ni kazi ngumu Zaid ya watu wanavyoifkria , mwingine huko Haiti wamemuwasha risasi ....Ila nafkri viongozi watembee na katiba , wakiona haijitoshelezi wanabadili iendane na matakwa , Ila kuendesha nchi Kwa mlengo unaoona ww unafaa aisee utaishia kupata taabu sana
Aliyehimili ni Ally Hassan Mwinyi peke yake
 
Kazi ya uRais aliiweza sn JK hawa wengine hawaiwezi hata kdg
Hakuiweza kabisa, aliwaua akina Daudi Mwangosi, aliwang'oa kucha na meno akina Ulimboka, akawatoa macho akina Kibanda, sanasana naweza kusema Mwinyi alikuwa vizuri zaidi
 
Unauunga mkono ujinga wa akina MBOWE halafu unaishia kulala rumande miezi kadhaa huku ukiwa na familia yenye CHANGAMOTO KUBWA ZA KIUCHUMI....

Mwenzao Mbowe ana mahoteli na MAJUMBA mpaka DUBAI NA LONDON....kamwe huwaoni WATOTO WAKE WAKIWA "FRONT" katika siasa.....

Ama kweli AKILI NI NYWELE.....

#MkanyeAkirudiAkiendaMwache
#KaziIendelee
mkuu umeongea point kubwa sana ila kwa kuwa hawa nima nyumbu hawatakuelewa.
 
Leo Mh.Rais SSH amenikosha sana....

Ameongelea kuhusu VIONGOZI WA DINI....SIASA NA DINI.....

Amesema kuwa DINI NA SIASA huwiana katika baadhi ya mambo..ila DINI NA SIASA vitabaki vitu viwili tofauti....

Nimesema haya kwa kukumbushia kuwa ,MIPAKA YA CHOCHOTE NI LAZIMA IWEPO....SI OMBI.....

Sasa atokee "fulafula" mmoja kama MDUDE NYAGALI ambaye mdomo wake hauchungi mipaka halafu AENDELEZE huo "upang'ang'a".....

#KaziIendelee
#RaisSSHHoyeeee
 
Aliyehimili ni Ally Hassan Mwinyi peke yake
Kipind hcho hakukuwa na technolojia kama sasa , na mbuzi walikuwa wengi ....sa hv toomuch reasoning Kwa kila kitu kiongozi anachokifanya and somehow exposure ni kubwa ...!!! Kinachowasaidia viongozi ni kuwa watanzania wengi hawajalelewa katika mazingira ya fujo, hata hvyo hyo neema hyo naona kama inaelekea ukingoni
 
Back
Top Bottom