FJM,
Unasema ni kichekesho Rose Kamili kudai fidia, ushangai mke wa mtu kupewa mimba? Mtapata taba sana kumtetea Slaa kwenye suala ili.
Nilianza vizuri tu Ritz, na niliandika, ni one owns anyone. Pius Msekwa mwenyewe si unajua alikoanzia na sasa yuko safi 'na my wife wake'. Divorce zipo, tena legally, so what's the big deal hapa. Kwamba Dr Slaa na Rose Kamili ni watu wa kwanza kufikishana mahakani kwa sababu uhusiano wao umefikia tamati? Kwangu mimi hii ni habari ya kawaida kabisa.
Infact ningetaka wanasiasa wakawa wawazi kama Dr Slaa, kwamba kama uko na mwanamama huyu fanya hivyo in the open kuliko huu utitiri wa nyumba ndogo unaogharimu walipa kodi. Nasema walipa kodi kwa sababu kuna wavaa vipini wengi wameingia bungeni ili kuweka huduma karibu. Hawawakilishi chochote and still tunalipa kodi. Dr Slaa ameachana na Rose Kamili na sasa yuko Josephine. Shida ya nini?