Mkuu inabidi ujue maana ya kuroot simu,kama wewe ni mpenzi wa teknolojia lazima utaujua umuhimu wa kuroot.sijawahi kuroot simu, sitakaa, na sitaki.
kwangu naona haina maana.
swali: nikiroot simu nitapata free internet mpaka simu itakapoharibika au kupoteza?
Hutojutia mkuu cha msing awe mtaalam na mtu makinikama ni hivyo basi inapendeza, natamani kuroot ila naogopa. nitatafuta mtaalamu nmpe hata 5000 nimuonyeshe maelezo yako apite humo humo
Kwako haina maana yoyote kukujibusijawahi kuroot simu, sitakaa, na sitaki.
kwangu naona haina maana.
swali: nikiroot simu nitapata free internet mpaka simu itakapoharibika au kupoteza?
Wakuu nawapataje munisaidie, maana hapa naona mapichapicha tu yani sielewi kitu. Natumia Samsung Grand Prime Pro Android ni 7.7Acha kabisa Asee hii kitu upande wang ndio the best rooting method sababu kubwa ni modules zake pamoja na kua systemless kwamba haichange partition ya simu ivo baada ya kufanya tweaks unaweza unroot muda wowote bila shida
Model ganiWakuu nawapataje munisaidie, maana hapa naona mapichapicha tu yani sielewi kitu. Natumia Samsung Grand Prime Pro Android ni 7.7
Simshauri mtu ku root simu, maana mm yangu nimeroot hadi update siwezi kupata kwa OTA hadi utumie manual kwa computer.
Kuna changamoto kibao dah, nikitaka kufanya nambiwa simu yangu imekuwa modified in unauthorized ways, hii ni kwa Samsung
Samsung Grand Prime Pro mkuu. Android 7.1.1Model gani
Inaonekana karoot bila kujua anachofanya,yote aliyosema ni kawaida kabisa kwa kila simu iliyo rooted na mtu anaejua raha ya kuroot anajua kuya overcomeMkuu usiseme humshaur mtu kuroot,,hizo challenge ulizokutana nazo ni bora ungeomba msaada jins ya kutatua kuliko kusema humshaur mtu...
Tunaoijua root huwez kutuambia kitu...nipo na magisk hapa,module kama zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungefuatilia kwanza kabla ya kuroot,kama hujui unachokifanya utaichukia simu maana ukiriot hapo ni kama kampun la simu wamekukabidhi ufanye unachotaka na sio uwategemee hakuna barrier zozoteSimshauri mtu ku root simu, maana mm yangu nimeroot hadi update siwezi kupata kwa OTA hadi utumie manual kwa computer.
Kuna changamoto kibao dah, nikitaka kufanya nambiwa simu yangu imekuwa modified in unauthorized ways, hii ni kwa Samsung
Kunaa model tofaut tofaut Hua kunakua na neno SM likifuatiwa na nambaSamsung Grand Prime Pro mkuu. Android 7.1.1
Ndio root kwa njia hii Inawezekana lakini kwa vile ni simu maarufu kuna njia nyepesi zaidi ya hii sababu officiall twrp tayari ipo,pia kama bado ipo kwenye stock basi ata app ya kingroot inaweza root
Kuhusu custom rom zipo kuna lineage os
Pia si lazima uweke custom unaweza modify kwa kucheza na iyo stock
Aaaaaaa mkuu… sidhani kama ni swali la kitoto!Lineage Os inakubali kwa simu yoyote?
Na kucheza na Stock inakuaje?
Samahani kama nimeuliza maswali ya kitoto nataka kujua mkuu
Android 6 inawezekana?Kuwasiliana na mtaalam moja kwa moja lakin kam mtu anakichwa kizuri anaweza fata procedure na akafanikiwa bila shida
Kuna version tofaut za lineage os kulingana na simu,Sio za simu zote lakini asilimia kubwa ni zile zenye majina maarufu kama samsung,nokia,sony,huawei,google pixel, xiaomi n.kLineage Os inakubali kwa simu yoyote?
Na kucheza na Stock inakuaje?
Samahani kama nimeuliza maswali ya kitoto nataka kujua mkuu
NdioAndroid 6 inawezekana?