Samsung imeachia update ya Android 14, One UI 6

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,466
17,308
Samsung imeachia update ya Android 14 One UI 6 toka wiki iliyopita.

Kwa wale wenye simu za Galaxy 23 Ultra unaweza ku-update simu yako kwenda One UI 6.

Binafsi nilisha update lakini sioni tofauti yoyote na One UI 5.1. Kama kuna alie update humu anisaidie labda mimi ndio sijaelewa customization.

Screenshot_20231105_072150_Settings.jpg
 
Nimeijaribu kwenye Galaxy S21 FE kwa kweli kuna mabadiliko mengi sana.

Features nilizozipenda ni hizi kuweza kutumia one time password ukiwasha mobile hotspot maana yake hutakuwa na haja ya kumpa user password yako ya hotspot unampa password ya muda akimaliza kutumia inabadilika.

Nyingine ni kuweza kuwasha Wi-Fi na Bluetooth kama Flight mode iko on.Unaweza kuweka flight mode on simu yako ikawa haipatakini lakini Wi-Fi utaendelea kuipata kama uko eneo lenye Wi-Fi.

Features nyingine ziko kwenye hii link ya Youtube kwa maelezo zaidi.


View: https://www.youtube.com/watch?v=4gfR6mioqPs
 
Back
Top Bottom