Tumia macho ku control simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2809440

Kampuni ya Honor kwenye toleo jipya la simu aina ya magic 6 ambayo inatajiwa kuachiwa mwakani ndani yake kuna mambo mengi ya kushangaza ambayo ukifanikiwa kuipata hiyo simu utaweza ku enjoy.

Kwenye simu ya Honor Magic 6 unaweza kutumia macho yako kufanya mambo mbalimbali kwa urahisi bila kutuma vidole Kila saa kubonyeza bonyeza kwenye kioo Cha simu yako.

View attachment 2809439

Honor Magic 6 unaweza kutumia macho yako kufanya yafuatayo
  • unaweza kusogeza picha, video, au files jingine kupitia macho
  • unaweza kufungua app yoyote iliyopo kwenye simu bila kuigusa bali kutumia macho yako.
  • unaweza kuingia setting na ku seti kitu chochote kuwasha Bluetooth, wifi kupitia macho yako nk.

View attachment 2809438

Mfano unaweza kuchezesha jicho mara Moja basi kuna app ambayo unayoitaka itaweza kujifungua yenyewe. Pia kwenye simu hii ya Magic 6 inakuja na akili bandia inaitwa YoYo inakusaidia kutengeneza video yoyote kupitia Uso wako.

Mfano unaweza tumia picha yako kumuomba Yoyo Akili bandia kuweza kutengenezea video au picha Toka ukiwa mdogo mpaka unafikia barehe na Yoyo ataweza kutengenezea.

Magic6%20%E2%80%93%204.jpg

Honor Magic 6 specs:
Display inch 6.82 + super Retina Xdr OLED
Processor ni snapdragon 8 Gen 2
Camera yake ni 50mp + 64mp + 64mp
Front camera ni 32mp + TOF 3D camera
Battery nj 4722 + fast charging 44W
Ram 12Gb + 256Gb storage
Android version 13 + Magic UI 7 User interface

Gharama yake ni 1.2 million

Umeshawahi kutumia simu yenye uwezo wa kutumia macho kufanya Kazi mbalimbali au kikubwa mawasiliano tu ??
 
View attachment 2809441

Bei ndogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom