Usiwe na haraka mkuu,utafaidika kitu gani?Usijitafutie ugonjwa wa moyo kwa kubank all the way halafu ukawa dissapointed na kuwa broken hearted.Just be hopefull or optimistic na si kuwa kama vile una uhakika bana.Relax.
aisee.. ngoja tuone inavyokwenda lakini inaonekana Obama anaweza kurudi kwani majimbo yote niliyoguess yanaweza kwenda kwa Romney bado hata moja halijaenda kwa Romney...
Nilisema mim jana kuwa kama uchunguzi unaonyesha uko tight na big margin of error it lead to projection to be below 95 degree of confident ..you cant call who is winning. Strong feeling za PA ziko wapi sasa?
Yeyote anaweza shinda it is a dead heat ...otherwise ni ramli tupu...tusubilia FL and OH itatuambia VA pia ...