Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,199
- 44,214
- Thread starter
-
- #121
mzee samahani hivi kwanini vyama vingine havisimamishi wagombea kwenye nafasi ya urais?
Je kuna sheria yeyote inayowazuia?
absolutely.. Obama akishinda Florida he can afford to lose Virginia...
And he is not doing that bad in Ohio especially with the white working class.
Absolutely, ila inashangaza hapa MI pamoja na kuwa vituo vimefungwa rasmi saa moja lililopita bado watu wako kwenye mistari wanasubiri kupiga kura!!!!
And in rural Virginia, Obama is doing better than in the previous election whilst holding on in the urban area.
Miaka yote hiyo nilikuwa fine tu,inawezekana pia kuwa wewe ulikuwa hunielewi.Hakuna nlichojifunza ambacho kimenibadilisha.Sana sana nimekuwa a bit more patient,thats it.But i'm the same!
Haya PA immeenda Chicao, je bado MM unaamini MR kushinda, at least with that 52%?
Haya PA immeenda Chicao, je bado MM unaamini MR kushinda, at least with that 52%?
tatizo la mwanakijiji anajifanya kila kitu anajua. na wameshafuta comments zangu.
Just watch.. lakini nadhani key iko FL tena.. kwani inaonekana the big upset itakuwa kwa Obama kushinda FL... kwani akishinda FL yuko assured to retain the presidency..
Leo mimi na Fox News tu......nasubiria Ushindi wa Kishindo wa Romney.......