Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,364
- 1,475
Mbere acha utoto! jibu maswali uliyoulizwa
ngararumu naye vipi?Bila kumsahau mjomba rembwe....
mwenyewe nimekumbuka sana miaka hiyo, kumbukumbu zinakuja hadi machozi yanataka kutokaHahaaa! Daah..nmemkumbuka sana leo aisee!! Ni kitambo mno...
Pole sana..[emoji20] [emoji20] kweli, binafs ntawataftia timing! Na hapo ntakuwa na kesi ya kujbu labda kwa kuwatelekeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mwenyewe nimekumbuka sana miaka hiyo, kumbukumbu zinakuja hadi machozi yanataka kutoka
[emoji17] [emoji17]
Wewe huna lolote.. Inachofanya ni kuitangaza hi I hotel humu mtandaoni. Hata kulala hukulalaJana nilibahatika kulala Rombo, nikapewa chumba cha juu kabisa. Sasa kwenye lift wakati napanda ghorofani, nikaona tangazo kwenye lift, "Huduma ya massage".
Nikachukua simu kutaka kujua ni nini hii, na ni shilingi ngapi? Kupiga akapokea mdada akanambia Massage 40,000/=. Nikamwambia Nina 10,000/= naweza pata kila kitu? Akashangaa elfu 10 kila kitu? Ongeza utapata.
Sikutegemea kuwepo kwa Huduma hii haswa hotel hii ambayo hata mwenye hotel atakuwa ameidhinisha kuwepo na kuruhusu no za simu zikawekwa kwa lift ili kujitangaza.
Nilikueshimu sana Rombo. Ntatafakari tena heshima yangu kwako baada ya kupata mawazo yenu wadau.
Karibuni..
una muda gani kwani hujaenda?Pole sana..[emoji20] [emoji20] kweli, binafs ntawataftia timing! Na hapo ntakuwa na kesi ya kujbu labda kwa kuwatelekeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangu..mbili kumi na mbili..hata na hivyo sikufanikiwa kuwatia machon mkuu...una muda gani kwani hujaenda?
jitahidi uende aisee muda mwingi sana huo, mimi nikipitiliza mwaka sijaenda najisikia vibaya kweliTangu..mbili kumi na mbili..hata na hivyo sikufanikiwa kuwatia machon mkuu...
Siyo kwamba hela ni nyingi
Sikutegemea kukuta hiyo Huduma kwa huo mhotel ninaouheshim sana , na kumdhania owner kama jembe