Rombo Green View Hotel na huduma tata ya massage

Rombo Green View Hotel na huduma tata ya massage

MNA share pale? Au Wateja? Wote mnanigombeza!!! Ngoja ntapata mtetezi soon hapa
 
Siyo kwamba hela ni nyingi
Sikutegemea kukuta hiyo Huduma kwa huo mhotel ninaouheshim sana , na kumdhania owner kama jembe

Mkuu taratibu utaaibika......
Nenda Serena pale utakuta huduma hii......Zanzibar hotel nyingi zina hii huduma.......usiishie kutembelea Rombo tu.....panua wigo......
Au wewe unaelewaje massage.......?...
 
Ungefuatwa chumbani kwako nakupigwa massage kwanguvu basi hapo ungeweza kuja humu na kulalamika, tatizo lipo wapi hapo? Wewe unatafsiri yako tofauti juu ya huduma hiyo
 
inawezekena mleta mada hakumwelewa huyo mhudumu. mkoa aliotoka mleta mada nadhani kila kitu maana yake ni ngono tu ndio maana akili yake ilimtuma hivyo. kwa mhudumu kila kitu inawezekana ni huduma ya massage kwa kiwango cha juu.
 
Mleta uzi unaweza kueleza uelewa wako kuhusu "massage" tafadhali....
 
Siyo kwamba hela ni nyingi
Sikutegemea kukuta hiyo Huduma kwa huo mhotel ninaouheshim sana , na kumdhania owner kama jembe
Vitu vingine kama huvijui bora kukaa kimya kuliko kujaza nafasi kwenye seva tu. Massage ina ubaya gani? Kama wewe unaona ni maajabu basi ni mambo ya kawaida kwa watu wengi tu. inaonekana umetamani mpaka ukamtangazia kiwango cha sh 10000 na wakati huo huo unashangaa huduma hiyo kuwepo hotelini hapo?
 
Miji mikubwa na nchi zilizoendelea papuchi inauzwa kihalali na serikali inapata kodi yake,nenda Uholanzi uone kuna sex shops na Huduma zingine,hakuna anayepoteza muda kutafuta Huduma.Dunia inaenda kasi angalia isije ikakuacha Ubungo stand umezubaa
 
Back
Top Bottom