Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,531
- 1,570
Nadhani neno "Kilakitu" limemaliza!Hicho "kila kitu" ulichotaka na kisha ukashangaa kugundua kuwa kinapatikana ni "kitu" gani kwanza?
Nadhani neno "Kilakitu" limemaliza!Hicho "kila kitu" ulichotaka na kisha ukashangaa kugundua kuwa kinapatikana ni "kitu" gani kwanza?
Mteja mwingine huyu ameshapatikana inabidi uongozi wa hotel ukupe discount , wataenda wengi toka humu!Naomba kujua bei ya vyumba vinaanzia bei gani hapo
Ha ha ha haa!...mkiambiwa msije mjini,wabishi!
...tutolee makunyanzi hapa!
kwa nini uliwaza uchafu kama wewe siyo mchafu?, huna cha kutafakari nadhani utakuwa ulifurahia hudumaJana nilibahatika kulala Rombo, nikapewa chumba cha juu kabisa. Sasa kwenye lift wakati napanda ghorofani, nikaona tangazo kwenye lift, "Huduma ya massage".
Nikachukua simu kutaka kujua ni nini hii, na ni shilingi ngapi? Kupiga akapokea mdada akanambia Massage 40,000/=. Nikamwambia Nina 10,000/= naweza pata kila kitu? Akashangaa elfu 10 kila kitu? Ongeza utapata.
Sikutegemea kuwepo kwa Huduma hii haswa hotel hii ambayo hata mwenye hotel atakuwa ameidhinisha kuwepo na kuruhusu no za simu zikawekwa kwa lift ili kujitangaza.
Nilikueshimu sana Rombo. Ntatafakari tena heshima yangu kwako baada ya kupata mawazo yenu wadau.
Karibuni..
Sasa hukutegemea nini kwani umeambiwa pale ni kanisani??? Kuna mapambio tuSiyo kwamba hela ni nyingi
Sikutegemea kukuta hiyo Huduma kwa huo mhotel ninaouheshim sana , na kumdhania owner kama jembe
Kwani mkuu..ukisikia massage wewe unawaza nini? Hotel nyingi sana kubwa tena 5 star zote zina huduma ya massage.Siyo kwamba hela ni nyingi
Sikutegemea kukuta hiyo Huduma kwa huo mhotel ninaouheshim sana , na kumdhania owner kama jembe