Rombo Green View Hotel na huduma tata ya massage

Rombo Green View Hotel na huduma tata ya massage

Ningeona sii mahali pa Yale mambo maovu
Kwani alikwambia mambo maovu yapo?massage sio jambo ovu,ni tiba nzuri ya mwili.

Hapa tatizo ni fikra zako,inaonekana fikra zako ni ovu, uliposema kila kitu yawezekana mhudumu alijua unataka full body massage ambayo kwa hotel za hadhi ya juu huduma kama hizo ni za kawaida sawa.
 
Ipo wapi hii hotel aiseeeeee,si wengine mahotel mbali mbali.

Jana nilibahatika kulala Rombo, nikapewa chumba cha juu kabisa. Sasa kwenye lift wakati napanda ghorofani, nikaona tangazo kwenye lift, "Huduma ya massage".

Nikachukua simu kutaka kujua ni nini hii, na ni shilingi ngapi? Kupiga akapokea mdada akanambia Massage 40,000/=. Nikamwambia Nina 10,000/= naweza pata kila kitu? Akashangaa elfu 10 kila kitu? Ongeza utapata.

Sikutegemea kuwepo kwa Huduma hii haswa hotel hii ambayo hata mwenye hotel atakuwa ameidhinisha kuwepo na kuruhusu no za simu zikawekwa kwa lift ili kujitangaza.

Nilikueshimu sana Rombo. Ntatafakari tena heshima yangu kwako baada ya kupata mawazo yenu wadau.

Karibuni..
 
Umaskini ndo unakusumbua! Elf 10???? Hiyo huduma ni ya ajabu? Pole sana rudi kijijinu kwenu basi
 
Wachangiaji wa hii mada sio wale walokiuwa wanapinga shoga kuhojiwa kwenye tv?
 
Umaskini ndo unakusumbua! Elf 10???? Hiyo huduma ni ya ajabu? Pole sana rudi kijijinu kwenu basi
Wee mimi siyo masikini ata ninayoendesha babako hana, mmejaa dhambi mkuwa na kidogo mtajiona matajiri huku umepanga
 
Wee mimi siyo masikini ata ninayoendesha babako hana, mmejaa dhambi mkuwa na kidogo mtajiona matajiri huku umepanga
Ungekuwa sio maskin ungeomba kupunguziwa mpaka elf 10?? Rudi kwenu huki shamba usiutie shombo zako za samaki mji wetu
 
[emoji125] [emoji125] Ngoja niwahi hapo kwa Mzee Kimario nikapate kila kitu chap
 
Sasa ni nini cha ajabu hapo? Massage ni kitu cha kawaida kabisa. Kweli nimeamini tz tumechelewa kujua vitu vingi. Tumekuwa wa kushangaa kila kitu
 
mbere wewe bwege na mbabaishaji. Huduma huitaji ya nini upige simu acha kutuzingua bhana post mambo ya maana
 
Hotel zote kubwa kuna kila huduma; labda ndy Mara ya kwanza kwako kulala hotel kama hy, kwa hiyo ulikuwa na option haikuwa kazima kufanyiwa massage kama wewe ni mlokole basi ungeambatana na pingu yako
 
Aise humu ndo kwenye mapovu ya ngono
 
Basi mmeshinda nkienda tena ntawachukulia no. Ya simu
 
Mteja huyu ni mmoja wa waumini wa lugha hizo za 'utapata kila kitu' sishangai kwa nini alitahamaki badala ya kudadisi kwa kina pale binti alipomjibu kwamba atapata kila kitu angehoji unamaanisha nn kusema nitapata kila kitu? jibu ndo lingempa picha kamili ya huduma zitolewazo kwenye massage!!! inawezekana mhitaji huduma hakumwelewa mtoa huduma!
 
Back
Top Bottom