Alpha Malima
Member
- May 24, 2011
- 84
- 89
Usiku ndo huu mzee babaMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Usiku ndo huu mzee babaMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Si ndo hapoUsiku ndo huu mzee baba
Nataka kuja huko whatsup kwako,nionyeshe njiaMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
Watu wanaowachukia Israel utawajua tu hata kwa mwendo. Wanatamani hata kesho Israel ifutike,lakini wamechemkayani kwenye uandishi wako umeutukuza huo uyahudi utadhani dunia nzima top 50 ya matajiri ni wayaudi tu,kwanza kiuhalisia huyo abramovich hana uyaudi wowote ukianza kufatilia uzazi wake sema tu umekuzwa kutokana na uhasama uliopo kati ya USA na RUSSIA kuonesha kuwa mzungu wa kawaida asingeweza kumteka rais yeltsin kirahisi.Ndipo hapo neno uyaudi likakuzwa kwa Abra
mimi nitakuwa sizisomi,au nitakuwa nasoma nitafanyaje sasa....! Ahahaaaa...!Tatizo Habibu B. Anga story zako zinaleta alosto,mimi nitakuwa sizisomi.Au basi nitakuwa nasoma,nitafanyaje sasa!
Vp Boss,sehemu ya tano ipo tayar? silali mpaka niisome... tafadhali naomba unikumbuke?Mnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
🤣🤣🤣Ahad ni Deni Habibu B. Anga vipi had nw kimya, utatuua kwa arosto
Anatutesa sana na hizi habari za 'wait for the next episode'.mimi nitakuwa sizisomi,au nitakuwa nasoma nitafanyaje sasa....! Ahahaaaa...!
We jamaa ni mtu wa hovyo sana story Kama huziwezi si uache yaani unataka ubembelezwe kama mwanamkeMnisamehe bure kwa ukimya maoligarch,
Leo usiku nitaweka SEHEMU YA TANO
yani kwenye uandishi wako umeutukuza huo uyahudi utadhani dunia nzima top 50 ya matajiri ni wayaudi tu,kwanza kiuhalisia huyo abramovich hana uyaudi wowote ukianza kufatilia uzazi wake sema tu umekuzwa kutokana na uhasama uliopo kati ya USA na RUSSIA kuonesha kuwa mzungu wa kawaida asingeweza kumteka rais yeltsin kirahisi.Ndipo hapo neno uyaudi likakuzwa kwa Abra