Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Kuhusu ishu ya Vitabu...



Noana kuna jambo nasisitizwa sana, VITABU.

Niliwahi kutangaza kutoa kitabu lakini sijawapa tena update yeyote.



Kuna changamoto imetokea na nilikuwa sitaki kuizungumzia ndio maana kwa mwaka mzima sijasema chochote kuhusu kile kitabu ambacho niliwapostia mpaka picha yake kwamba tayari kinachpwa. Lakini nadhani ni vyema nilisemee mara moja ili walau mnielewe nini kimetokea…

Ni kwamba kwenye kile kitabu kuna hii makala ya ya Ujasusi Sebuleni Kwetu na makala ya The Richest Man. Hizi makala zote zinahusu masuala ya kiusalama hapa Afrika Mashariki.

Nadhani mnaona hali za kiuslama hapa katikati ilikuwa tete kidogo Afrika Mashariki… Kuna mabwana wakubwa wanahisi kwamba hizo makala zina taarifa sensitive na kwamba si vyema zikienda public... so kitabu kikapigwa stop kabla ya kuuza hata nakala moja. Nikafosi kutoa nakala mia moja tu na kuwapa watu waliopo kwenye group langu whatsapp kwa masharti. But sijawahi kumpatia mtu mwingine yeyote nje ya hao na ndio maana hata humu sijawahi kuwaeleza kinapatikanaje.







Taarifa gani hizo sensitive? Wajua, mie humu JF nikionana akiana 'chogo' wanakuja kubeza sijui oooh hii iko google sijui nini nini... huwa nawaangalia nabaki nacheka tu hiiiiiiii... ubaya tumekutana tu hapa JF hakuna anayejua undani wa mwenzake.



Niseme tu kwa haya masuala ya intelijensia Afrika Mashariki nina access ya kupata taarifa kubwa ambazo hata haziko mitandaoni au mtaani. Na kwa kusema hivyo sitaki kumaanisha kwamba labda mie niko pale Oysterbay/K.nyama... hapana, siko huko na sijawahi kuwepo. But nikihitaji intelijensia kuhusu masuala ya Afrika Mashariki najua naipataje… wale mlioko kwenye group nadhani mnafahamu vitu ambavyo mara kadhaa huwa najadili kule kuhusu masuala ya ulinzi na usalama hapa Afrika Mashariki.



Anyways… hiki ndicho kilitokea na sababu kwa nini mpaka sasa nashindwa kutoa kitabu. Ningeweza kutoa kitabu kwa kuondoa makala hizo mbili but nahisi ule ‘umaalumu’ wa kitabu utaondoka. Kwa hiyo bado nakomaa, maana kuna watu wapya pale sasa hivi naamini tutaenda sawa…na mimi mtiifu sana kwa nchi yangu, nawasubiri wao wanipe go ahead ndio nikitoe...



Sikutaka kusema haya muda wote huu maana JF imejaa wajuaji na ungeibuka mjadala ambao hauna maana wala tija… but imebidi niseme maana naona kama hapo juu kuna comment nyingi sana kuhusu kitabu na kwa nini sikitoi wakati nilishatangaza.
mkuu kuna shida naipata kufungua makala zako sjajuw km ni mm tu yaan uwez amin toka nmengia humu jf nmetokea kupenda sn makala zako lkn changmoto ndo hyo karbia zte napozifungua napata shda hazfunguk kw wkt, msaada wk tafadhal na naomba uniunganishe kwenye group lako no 0764662890
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom