The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,847
Mkuu uhalali au ulipaji kodi I cant say sababu hakuna evidence, kuhusu kuua mtu ni kweli hakuna kashfa kama hiyo ambao ilishawahi kuwa connected na bill gates... Kuhusu beef ya Gates na Job haipo sababu ya competition tu ipo sababu ya Graphical User Interface kwenye windows.., Baada ya msaada mzuri wa IBM kununua operating system kwa Gates (ingawa software haikuwa yake ilikuwa ni ya jamaa fulani Gates alichofanya ni kununua kwa huyu jamaa na kuingia deal na IBM kwamba computer zao zote zitakuwa na Operating system yake) hii ndio iliompandisha chati gates...
Lakini Job katika tembea tembea zake huko kwenye kampuni ya Xerox akaona jinsi ambavyo anaweza akatumia graphical user interface na mouse kwenye computer na sio command prompt basi Job akapata wazo la kutumia hii idea kwenye mac computer zake
Hivyo basi Job alivyo kuwa show off akaamua kuitisha show ya kuonyesha jinsi the new Mac computer itakavyokuwa na graphical user interface.., lakini kumbe na Gates na yeye alikuwepo pale.., Na kwa ujanja wake akachukua ile idea akenda kwa kasi sana akatoa windows version 3.1 haraka kabla mac hazijaingia sokoni.., In so doing akawa amemuwahi Job na kwenye software mtu akishapata bidhaa ya A ni vigumu kuinvest kwenye bidhaa ya B
Basi ugomvi ni kwamba Job anasema kwamba Gates ni mwizi na aliiba idea yake, wakati Gates anasema kwamba sio yako mimi niliiona tu kwako lakini originally idea ilikuwa ni ya Xerox..
Kwahiyo mkuu if you dig deep maybe there is no such thing as a squeaky clean businessman
wanasema hakuna hata kitu kimoja
ambacho gates aligundua yeye
yeye ali commercialize invention za wenzake