Roman Abramovich : The Self Made Billionnaire | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Roman Abramovich : The Self Made Billionnaire

Discussion in 'Celebrities Forum' started by VoiceOfReason, Aug 10, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Akiwa mtoto yatima (mama alifariki akiwa na mwaka mmoja na nusu na baba yake alifariki kwa ajali akiwa na miaka minne) Kwa sasa ni mtu wa nne kwa utajiri Russia na mmiliki wa Chelsea FC.

  Alifanyaje Kupata Utajiri Wake

  • Alivyokuwa Jeshini alifanya biashara ya kuwauzia mafuta ya wizi wanajeshi wengine jambo lililompatia pesa nyingi
  • Kuonyesha kwamba anachukua kila opportunity alitumia pesa alizopewa kama zawadi na wazazi wa mke wake (2000USD) kufanya illegal business (black market) huko Moscow
  • Kwa faida ya biashara zake alianzisha kampuni ya kutengeneza toys na spea za magari na biashara nyingine nyingi kuanzia biashara za mafuta, nguruwe na bodyguard recruitment
  • 1992 alishikwa kwa kuibia serikali, aligushi documents na kupeleka mzigo wa mafuta uliokuwa kwenye treni kwenda sehemu ambako ilikuwa haipaswi kwenda, lakini kesi hii ilikufa kifo cha kawaida
  • 1995 kwa kutumia connection za rafiki yake Boris Berezovski, ambae alikuwa close na President Yeltsin walitumia controversial program ya loans for shares (inasemekana Yeltsin alikubaliana na orgarchs (Abramavich akiwa mmoja wao) ili kumsaidia Yeltsin achaguliwe tena. Hii iliwafanya wapate control kubwa ya kampuni kubwa ya mafuta (Sibnet) kwa bei nafuu sana . Na hii program ndio iliozaa matajiri wengi wa sasa huko Russia
  • Baada ya Aluminium Industry kubinafsishwa kulitokea competition kubwa sana ya kumiliki hii industry.., watu wengi waliuwawa (waandishi wa habari, wafanyakazi viwandani n.k.) mwisho wa siku mshindi alikuwa ni Roman Abramavich
  • 2003 alinunua Chelsea FC
  • 2000/2008 alikuwa governor wa Chukotka sehemu masikini sana lakini kwa kazi yake nzuri aliweza kupandisha wastani wa mishahara kutoka 165USD (2000) mpaka 826USD (2006)
  My Take
  The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea

  [​IMG]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni wa nne????duniani?
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  wa nne Russia sio duniani nadhani duniani atakuwa ni top 50...

  Huko Russia kuna ma- oligarchs wa kumwaga ambao nao walijinyakulia mapesa kipindi cha Yeltsin
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hivi unajua kuna mnigeria richer than huyu ?
  ni tajiri kuliko donald trump pia
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unamsifia mtu aliejipatia mali kwa njia ya udanganyifu? ni mwizi tu na siku nyingine usisifie wezi
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  unamsemea Aliko Dangote? ana net worth ya Bil $13.8 Trump ana 2.7Bill $
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Huenda ikawa kweli lakini facts zake huyo Mnigeria hatuna (well haziko open) na huenda tunajua theluthi tu ya utajiri wa huyu bwana na mwingine ameuficha (issue ni kwamba huyu jamaa alizaliwa akiwa masikini na utajiri wake umekuja ukubwani na kwa kasi sana
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu simsifii mtu hapa am simply laying down the facts za huyu tajiri from nowhere..., ni kwamba ingawa ni mwizi (alikuwa mwizi) lakini ameweza kufanya wizi wake vizuri na fight haikuwa ndogo (dont joke with russians mafia)... kwahiyo hapa am simply laying down the well known facts
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Usiwe mvivu soma hapa Aliko Dangote - Forbes
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Kiswahili rahisi, Abromovich alipata Pesa kwa njia haramu na ni pesa chafu(Money Laundering) then baadae amezitakatisha kwa staili hio aliotoka nayo na kuwa Tajiri
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani jamaa ni zaidi ya hilo..., sababu kwenye vile vita vya nani amiliki Aluminium Industry ni wengi walipoteza maisha na inasemekana baada ya yeye kushinda vifo viliisha. Pia baada ya Putin kuchukua nchi alianza kuwakandamiza wale waliopata utajiri kwa ufisadi, lakini ajabu ni kwamba Roman hajaguswa inayopelekea watu kudhani kwamba ana connection na Putin..,

  Pia huyu jamaa inaonekana ukimzingua anaweza akakugeuka sababu rafiki yake kipenzi aliyemsaidia kununua Shares za Oil Company Boris Berezovsky alisikika akisema kwamba Abramavich alitumia vitisho na kumfanya aachie shares kwenye oil na aluminium company.

  In short kuingia deal na huyu jamaa lazima uhakikishe upo fit na una protection ya kutosha
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Yeah jamaa nae yupo vizuri na anastahili heko..., lakini point ya hapa when it comes to shady business ingawa na huyu alitumia political connections lakini Abramavich there is a lot of mysteries na a lot of unknowns, na connection zake is more than we know..., na kuna nini kati ya urafiki wake na Russians Rulers (including former President Putin...) na je hizo mali zote ni zake au kuna mkono wa some people in power?
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Roman Abramovich 'vetted' Vladimir Putin
  Dominic Kennedy and Alexi Mostrous
  From The Times May 23, 2008


  Today The Times can disclose that Alexander Litvinenko, the spy poisoned in Britain in a suspected Russian plot, made the astonishing suggestion that Mr Abramovich effectively vetted Mr Putin - on behalf of Russia's powerful oligarchs - to succeed Boris Yeltsin as President.

  Litvinenko also told The Times that the football-loving billionaire controlled so much of Russia's economy that he was in danger of being killed by the Kremlin's special services.

  He said in his broken English: “Mr Abramovich have good contact with Putin before Putin was President. Russia oligarch select people who will be President. In 1997-98 Mr Abramovich was the best person who is check these candidates to be President. Now Mr Abramovich has good relationship with Putin.”

  Mr Putin took over as acting president in 1999 and won the post in an election the following year. Mr Litvinenko added that the football chief helped to fund his campaign.

  Mr Litvinenko, a former KGB man and an outspoken critic of Mr Putin, died of radiation poisoning in London in 2006 after being contaminated with polonium-210.

  His words are given an intriguing new significance by a Commercial Court battle in London between Mr Abramovich and the exile Boris Berezovsky over $4 billion (£2 billion) of Russia's oil and aluminium riches.

  Mr Litvinenko met Mr Abramovich through a business club run by Mr Berezovsky. Mr Putin was summoned to the Kremlin in 1996 to serve in high office under President Yeltsin at a time when Mr Berezovsky was the President's close aide and Mr Abramovich, in turn, was an ally of Mr Berezovsky.

  In an unpublished interview two years before his death, Mr Litvinenko said: “I know Putin's team since 1991 in St Petersburg. I know who Mr Putin is. I have meetings with Putin 1998. In 1999, my way and Mr Abramovich were different. Mr Abramovich stayed near Mr Putin. Who has stayed near Mr Putin for five years?”

  According to a biography, Abramovich: the Billionaire from Nowhere, Mr Abramovich interviewed the candidates for Mr Putin's first Cabinet in 1999. But the claim that he effectively vetted Mr Putin too goes farther than any previous account.

  Mr Litvinenko believed that the Chelsea boss was in danger from a corrupt mafia around President Putin. “Mr Abramovich in the future 100 per cent have a lot of problems from Russia special service,” the spy said. “Maybe killed, maybe put in prison. Maybe push under contracts.”

  Mr Litvinenko made his remarks in a telephone interview with The Times, which at the time was investigating the sources of Mr Abramovich's £12billion fortune.

  Only businessmen tolerated by the security services could survive in Russia, he suggested. Others, such as the billionaire Mikhail Khodorkovsky, found themselves prosecuted for corruption and jailed. “Abramovich is not political. He is not philosopher. He is fortune,” Mr Litvinenko said. He added that Mr Abramovich may have become too powerful a businessman for the security services to tolerate.

  “[He] took a lot of Russian commercial company under himself,” he said. Mr Litvinenko gave warning that Russia's special services would remove Mr Abramovich by killing or imprisoning him or taking out a contract. If he tried to flee, they would get him back by seeking his extradition on some crime charge.

  “If Mr Abramovich escapes from Russia and takes his money, if he is like control his money, Russia special service send crime case to this country where Mr Abramovich stayed.”

  In the event, a more peaceful solution was found. Mr Abramovich went on to divest himself of Russian assets, selling his oil business Sibneft to the Russian State for £6.6billion in 2005. The Times put the allegations to Mr Abramovich's spokesmen but they declined to comment. Mr Litvinenko's own downfall came after he antagonised Mr Putin, at the time head of the FSB, the successor to the KGB, by staging a televised press conference in 1998 amd announcing that the FSB had ordered the assassination of Mr Berezovsky.
  After being jailed and freed several times, Mr Litvinenko fled Russia.

  Source:
  Roman Abramovich 'vetted' Vladimir Putin - Times Online
   
 14. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wabongo bwana Dr.Mponjoli alipofanya ya kwake anaonekana ni mpumbavu,mwizi na hana akili lakini kwakua kafanya Abramovich huyu ndo anaonekana eti ni self made billionaire ha ha haaa this is totally pathetic...na yeye kwanini msimuite angalau fisadi tu!!??
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Huyu mwizi tu, mwizi hawezi kuitwa self-made hata siku moja, ametengeneza pesa zake kwa kumwaga damu za watu. Kama unataka uadmire matajiri kuna wengi ambao ni mfano mzuri zaidi ya "self made" Gates, Jobs, Ellis, Buffet etc hata akina Azam wetu.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  labda ufisadi ni kwetu tu kwa wenzetu hakuna hicho cheo.
  Kama anatumia njia haramu hadi na vitisho kwanini hachukuliwi hatua!
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa hakuna mtu anamu-admire mtu, simply tunaweka facts za yalitokea na mysteries behind the man, Dr. Mponjoli alikuwa ni failure ya kutaka kufanya wizi bila mpangilio na soon or later angeshikwa tu..., the facts remains kwamba jamaa ni self made na hakupewa handouts..., na ndio tunaweza tukamuita fisadi au mwizi au jambazi hakuna mtu aliepinga hapa...
  Mkuu what is self made na hapa am not admiring anyone this is not why I have put up this thread, if it was about the richest man in the world ningemtaja mwingine, if it was about a hard working person in the world ningemuweka mwingine, na some critics watakwambia Bill Gates amefika hapa alipo kwa kuwa shrewd na sio kwa kuwa fair an through charity au creativity and being a genius

  This is about the mystery behind the man naomba ubishe ni nini hapo ambacho nimeki-extract ambacho sio kweli?, jamaa kweli sio wa kuchezea na ni wa kuogopa..., lakini sijasema kwamba aliofanya ni mema

  Ndio Hus jamaa ni zaidi ya fisadi na ni connection zake ambazo zimemfanya hasishikwe.....
   
 18. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  okay HAPA NIMEKUELEWA mkuu, na pia hapa bongo ma-self made tunao kibao kina SHIMBO, CHENGE, LOWASSA,KARAMAGI wote hawa ni from the scratches to riches nadhani tuwape big up sana mkuu... ~Ndio Hus au sio..
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mafia wa Kirusi pamoja na kaka yake Putin na babu yao Yeltsin
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hapana mkuu sijasema wapewe Big Up haujanielewa kabisa..., huyu jamaa na Oligarchs wengine walitumia upuuzi wa Yeltsin kujichotea mapesa na kujimilikisha keki ya taifa..., walikuwepo wengi tu, lakini baada ya Putin kuingia wengine walibanwa na kufilisiwa lakini sio huyu Roman (which brings us to ask why....?) tunagundua ni sababu ya connection zake jamaa...,

  Wengi wamejaribu to go that route wameshindwa lakini jamaa ameweza na aligombana na well placed mafias na vita haikuwa ndogo... (kwahiyo mkuu hapa hakuna cha kupeana Big Up au Big Down its simply laying down the facts how did the Guy manage to acquire billions na bado anaonekana kwa watu kwamba ni mtu safi na bado hajashikwa (its needs some sort of character to achieve this..) na hapa sio kama kina Chenge et al wanaoibia watu waliolala au wanaochuma kwenye shamba la bibi..., hapana mkuu, Jamaa alitumia contacts za rafiki yake na uhusiano na Yeltsin kuchuma mapema na wengi walifanya hivyo ila jamaa alihakikisha kwamba anakuwa na connection na Putin ili wakati wenzake wanaanguka na yeye anabaki anasimama....

  Yeah unaweza ukasema jamaa ni fisadi, mwizi (muuaji - hatuna ushahidi its just allegation) lakini huwezi kusema kwamba jamaa sio billionnaire au self made..., na kwa kutumia akili tofauti na kina Chege at al..., alipokuwa governor wa sehemu masikini sana huko Russia akafanya kama Robin Hood kwa kuwafanya majority ya wakazi wa hii sehemu kuwa matajiri.

  Pia ukizingatia yeye ni Jew ambae baba yake kifo chake huenda kilikuwa linked na KGB huenda this is payback time...

  All in all the story ya huyu mystery man is worth hearing..., and no one is saying that the man is an angel... far from it
   
Loading...