Role of Indians in the Tanzanian Economy

wOrM,
Endelea kumulika kaka, endelea.


Jasusi,

Na ndo lengo langu!

Wanichukie kwa kuuweka ukweli wazi lakini naamini ukweli daima utawaweka huru!

See, tukiongelea 'watanzania wenye asili ya Asia' hatuwalengi wahindi tu. Lakini ukweli ni kuwa hawa hawana huruma nasi jama. Probably mnaangalia wahindi tu; tena wahindi wabaya sana. Hawajengi Tanzania japo mwawaita watanzania. Oh, hapo haijalishi wameshapewa utanzania ama vipi. Wanakamua vilivyo na kuhamishia kwao. Wapo waliojenga Tanzania na hawa ndio wanaostahili kuitwa "Watanzania" na sio wale wanaohamisha income yao kila kukicha.

Wanasiasa wetu wana udhaifu kwao kwakuwa ile % wanayopewa na waasia hawa (haijalishi ni wachina, wahindi, waarabu n.k) ni kubwa!

Ni hivi; wengine huwa wanasema: Flani (Waziri/Mbunge) yuko kwenye payroll ya kampuni flani. Hapo wanamaanisha kila mwisho wa mwezi ana chake. Hii ndiyo rushwa mbaya sana na inayoiua nchi yetu. Hapo usipime; jaribu kufuatilia nyendo za kampuni flani uone kama utabaki.

Majumba yao ya kuwekea mali ghafi almaarufu kama "Magodauni" yamejaa mali za uwongo! Kampuni ni ya kusindika minofu ya samaki lakini unakuta wana hadi marobota ya mitumba. Ukiuliza vijana wao wa Accounts section wanakwambia mzee flani ana chake hivyo hata TRA nao wameuchuna tu. Wa kuwapigia kelele ni TRA ama mamlaka husika kukagua haya majumba ya wawekezaji wetu hawa ambao tumeshawapa uraia ingawa ni tokea Asia na kuhakikisha wanatumia eneo la kazi husika kwa kazi zilizopangiwa.

Unasikia kiwanda cha nguo kimeungua na matairi 50,000 ya magari! Hata kwa akili ndogo utajua kuwa hapo si kiwanda cha nguo tu; kuna cha ziada!

Ebana inakera. Ila nawapenda 'watanzania wenye asili ya Asia' kwakuwa najua how to treat em! Ulaji wa wakubwa mzee...
 
Wacha tu wanunue hao Kina Manji et al. Lakini tutakapochukua Nchi kwa maana ya kurudisha uzalendo na kuwa na viongozi wazalendo wanaofanya kazi kwa kuelewa maana ya kuongoza na waaajiri wao ni walalahoi,zote hizo tutazirudisha kuwa Msajili na zitajiendesha kibiashara.
 
Heshima kwa michango yote, lakini wa kulaumu hapa ni sisi wananchi ambao tunajua kuwa kiongozi fulani ni bomu, lakini tunawachagua anyway!

Hebu angalia vizuri siasa ya Afrika, utaona ni bongo tu ndio wahindi wanashamiri na kila kitu, huko nchi zingine hawawezi maana wanachi wameamka na hawawapi nafasi ya kutanua, ukienda Zambia tu utakuta Singa singa anafanya kazi kituo cha mafuta ya gari, lakini bogno wao huwa ni maowner tu wa vituo hivyo,

Tatizo ni sisi wenyewe wananchi wa Tanzania, sio wahindi! Wahindi wanautumia tu ujinga wetu kwa faida yao!
 
Mzee Worm,

Inauma lakini wakati umefika kwa wabongo tuanze kangalia kioo kutafuta mchawi wetu, maana hayuko mbali,

Binadamu anayeweza kuuuza the most power ya uhuru wake wa kupiga kura kwa kumpa mgombea aliyetoa pilau, hakuna hope kwa huyo binadamu, the matter of fact ni afadhali tu afe!

Maaana kuendelea kuwepo kwetu ni tatizo tu kwa vizazi vijavyo, maana kwenye process ya transition tunawapasia tabia zetu mbaya za kuridhika na mambo madogo madogo as a nation!
 
ES,

Umenikuna mkubwa! Umeongea kwa kifupi lakini kwa maana pana zaidi. Ndo maana nikasema "Mwenye macho haambiwi tazama".

Kwa ambaye yuko Bongo au ana experience na life la Bongo anaweza kujua kuwa tunalichezea au kutekenya bomu moja matata huku tukikenua. Ningesema nilaaniwe kwa kutoanika uozo wa viongozi wangu au kutowaonyesha maovu yanayotendwa lakini viongozi wenyewe masikio wameweka pamba.

Heri Mwanakijiji kaamua kuwaombea 'sala yenye mlengo wa kushoto'! Inafikia saa unaona hawa wanafumba macho waziwazi tena saa 8 jua likiwachoma na wanajifanya ni saa 7 wa manane!

Ole wao wanavisikia vilio vya wazalendo na wananchi waliowaweka (japo nao kwa kuwahonga hela za wahindi/watanzania wenye asili ya Asia) na kujifanya kutowasikia.

Kweli; kosa ni la watanzania... Kuna mambo mengi lakini kabla ya kuwalaumu watanzania. Hatuoni nani tumchague! Believe me ES, watanzania wanataka mabadiliko ya kweli lakini wampe nani nchi? Ndo maana wanaishia kuiweka rehani nchi ili mradi siku zisonge mbele. Wenye uwezo wa kubadili mawazo ya wananchi ni mimi na wewe na hata yeye kwa namna mbalimbali.

I still believe wanasiasa wa kweli na wanaoweza kubadili mfumo mzima wa wananchi kukosa imani na viongozi wao ni sisi. Why not? Kama wao wameweza sisi tushindwe tuna nini???
 
mimi nadhani ni rahisi zaidi kuwalaumu watu wengine kuliku kuwajibika sisi wenyewe. Kama Wahindi ndio chanzo cha matatizo basi ni rahisi kutafuta suluhisho la haraka haraka tukidhania ya kwamba matatizo yetu yametatuliwa. Tutakapogundua kuwa ufisadi upo licha ya Wahindi kuondoka ndipo tutakapojua kuwa tatizo siyo rangi, lugha, au kabila la mtu, mtu mfisadi hana alama. asanteni.
 
Tuweke mambo ya rangi na asili ya mtu kwenye perspective.Hivi kati ya mtu aliyezaliwa Madras huko India na kuja Bongo ukubwani huku akiwa na passport wa India,Bongo na Canada,na yule aliyezaliwa Kongwa,na kusoma Pugu,kisha kuja Mlimani kabla ya kuukwaa ukubwa serikalini,nani anayepaswa kuwa na machungu zaidi na "nchi yake" (assuming kuwa huyo Mdosi nae ni mwananchi)?Jawabu la wazi ni,HUYO MBANTU MWENZETU.
Siku zote nimekuwa na-question allegiance ya hawa magabachori kwa taifa letu.Lakini kabla ya kuwalaumu moja kwa moja huwa najiuliza,hivi kama mie ningekuwa nawaona hawa waingereza wanaitafuna nchi yao bila huruma,nini kingenizuia mie kufuata mkumbo iwapo kwa kufanya hivyo nisingejikuta naishia jela?Kwa maana hiyo,wadosi wanaweza kufanya wafanyayo kwa vile "wenye nchi halisi" wanaendekeza maslahi binafsi kuliko nchi yao.
Hata hivyo,kwa vile two wrongs do not make a right,wizi na ujambazi wa wahindi hauwezi kuhalalishwa na tamaa,wizi,ujambazi,ubadhirifu na ubabaishaji unaofanywa na "watanzania wasio na asili ya India" (wazawa!!!??).
 
sasa tuwafanye nini wahindi hawa kitu ambacho hatutawafanyia watu weusi wenzetu? Naogopa hata kufikiria. Nilikuwa Uganda wakati wahindi walivyoshambuliwa hivi karibuni, na ninakumbuka vizuri walivyotimuliwa na Amin.
 
sasa tuwafanye nini wahindi hawa kitu ambacho hatutawafanyia watu weusi wenzetu? Naogopa hata kufikiria. Nilikuwa Uganda wakati wahindi walivyoshambuliwa hivi karibuni, na ninakumbuka vizuri walivyotimuliwa na Amin.
Yea,Amini alitimua Waganda ambao leo wameendeleza baadhi ya miji hapa UK.Lakini je Uganda imemaliza tatizo la rushwa kwa kuwatimua hao Wahindi?Hata sie tuliwaweka ndani "wahujumu wa uchumi" zama hizo,lakini wewe na mimi tunafahamu bayana kuwa uhujumu uchumi umekuwa kwa zaidi ya asilimia 100 ulinganisha na zama hizo za vita dhidi ya wahujumu uchumi.Tatizo linaanzia mbali sana...mtu anyeingia madarakani kwa rushwa anakuwa na ndoa ya kudumu na rushwa.Unaposikia JK,Mtanzania mwenzetu na Rais wetu, akitamka kuwa anawafahamu wala rushwa ila anawapa muda wajirekebishe (pasipo kutoa deadline) basi ujue kuwa hata tukiwatimua wahindi kesho asubuhi bado tutaendelea kuwa na matatizo.Kwa kifupi,hakuna solution kwa vile kinachokosekana na moral obligations,na unaposkia akina Father Kimaro wanapelekwa jela kwa kwenda kinyume na maadili,huku makanisa na misikiti ikiwaka moto kwa kwa viongozi kushikana uchawi kuhusu "zaka",basi ujue kuwa hatuna pa kukimbilia kupata mwongozo wa kimaadili ya kiroho.
 
Kwanini wahindi tu?
Hivi Mkapa na radar,Mwinyi na IPTL,JK na Lowassa na Richmond,Msabaha na Karimagi na Richmond na Madini. I can go on and on,Je Hawa Wahindi?Kwanini tusijiulize na HAWA TUWAFANYE NINI?Kwangu mimi hawa wote wanasura moja tu na hao wahindi!
 
tehe tehe msije mkatoa suluhisho kama lile tulilolichukua kule zenji mwaka 64, patakuwa hapakaliki hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kitu kingine cha kushangaza wanaokula hii keki ya taifa hawajengi Tanzania wanaendelea kukaa kwenye vile vile vibanda vya sajili jumba. Pamoja na utitiri wa mapesa waliyonayo, Je wanajenga wapi? Je kuna umuhimu wa kubadili sheria ya NHC i.e. kama mtu ana nyumba yake binafsi au ana pesa kiasi fulani [Utajiri kiasi fulani] asiruhusiwe kupanga kwenye nyumba hizo ambazo ni dezo. Nani wa kupewa kipaumbele kwenye swala hili?
 
Hawana hatia yoyote, wao wanatafuta kula kama mimi na wewe. wewe unaweza kurudi kijijini kwako kulima je yeye atarudi wapi mambo yakimwenda vibaya?


Wa kuuliza ni hao wanaowapa kula hiyo kilaini. Ndiyo maana nadhani kuwa Mtikila anahitajika sana katika uongozi wa nchi hii
 
Ni kweli wahindi ni waaminifu sana ndio maana viongozi wetu wanatuibia kwa kushirikiana nao. Kwa hiyo linapokuja suala la tuwafanye nini adhabu ni moja tu tuwachome moto. Najua wengi watapinga hii adhabu lakini hawa ni binadamu tu na hawana tofauti na vibaka wa simu tunaowachoma moto pale manzese kila siku huku tukishangilia tena hawa magabacholi na viongozi wetu wameiba zaidi moto uwe wa gesi.
Yaani kama huyu gabacholi mmoja ana tuhuma kila kona kuanzia bungeni, TRA, polisi n.k na ushahidi upo wazi lakini kila siku tuhuma zake zinazidi kupanguliwa na anasafishwa mpaka na kamati ya bunge aibu!.

Tuna watanzania wenye asili ya kiasia hapa Tanzania, hivi India kuna wahindi wenye asili ya kitanzania kweli au ndio ule msemo kuwa acha watumie ujinga wetu kwa sababu tumewakumbatia?
 
Daily News On Saturday; Saturday,April 28, 2007 @00:05
A RESEARCH conducted recently has shown that only 40 per cent of people who keep bank accounts in Tanzania know how to use the Automated Teller Machines (ATMs) and their advantages.

The survey conducted last year by Finscope Tanzania, also reveals that more than 52 per cent of Tanzanians don't understand what a Bank's current account is. The investigation also revealed that more.......................................................

WTZ wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kutumia huduma za Benki ili kuweza kukopa na kuondoa umasikini. WTZ waelimishwe zaidi kuhusu current accounts ili waweze kupata overdraft n.k. kuliko kuongelea kwenda kukopa kwa muhindi wangu n.k.

Full story ipo hapa:

http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=32969#post32969
 
Wahindi ni tatizo kubwa mno la kitaifa. Ni tatizo lililofugwa toka enzi ya utawala wa Mwalimu! Hawa jamaa tulisoma nao shule za msingi hadi kidato cha sita na mwisho wake wakaishia kusikojulikana bila kwenda National Service - wakati mimi namaliza shule ilikuwa ni mujibu wa sheria, usingeweza kukwepa! Lakini wenzetu hawa walikuwa hawafuatiliwi. Kwa sababu hii wao wanajiona kabisa sio watanzania hata kidogo, huwezi kumkuta mhindi katika jeshi la wananchi, polisi, magereza au kazi yoyote isiyokuwa ya karibu na pesa.

Hadi sasa hivi wahindi wana shule zao za kihindi zinazowawekea mazingira watoto wao kwamba hata wakikua wao ni tofauti na watanzania weusi.Hawa jamaa ni wafisadi na wanafiki mfano hakuna. Ninasema ni wote bila kutofautisha. Wana hadi mabenki yao...

Si siri wana ushirikiano wa kuwezeshana na ndiyo maana njia nyingi na kuu za uchumi wa nchi hii wamezishikilia wao.

Unafiki wao wanautumia kurubuni viongozi wetu kwa kuwashawishi rushwa ya moja kwa moja au isiyokuwa moja kwa moja, mfano ni kashfa ya mapesa yaliyoliwa ya Japanese Import Supporty Fund! Serikali imeshindwa kumfikidha mtuhumiwa wa kununua vibali karibia vyoote vya mapesa hayo kwa sababu eti ushahidi wa kuihushisha kampuni ya Quality Garage hautoshi! Sababu kubwa ni kwamba wabunge wa sasa na wa zamani ambao ni mawaziri wa sasa na wastaafu walikuwa wanachukua vibali hivyo kila mwaka, na mkurugenzi wa Quality Garage - Mr. Yusufu Manji alikuwa anahakikisha mbunge mwenyewe anasaini power of attorney inayo mruhusu Quality Garage aendelee na application kwa niaba yake. Woote walisaini ndiyo maana aibu i8ngewakuta kama ushahidi ungeletwa mahakamni.

Kwa mfano huo tu mmoja ninaojua mimi najua iko mingine ya namna hii mingi.

Dawa ya kukomesha hili ghafla hakuna ila linaweza kwisha taratibu tukiwa na viongozi wasiowaona wahindi ni bora kuliko sisi weusi.
 
Mimi nimepata kukuwa na wahindi na niliokuwa nao mimi hapa mitaa ya Dar wote tulienda nao JKTna mmoja tulikuwa kambi moja kabla bogi halijafanya kazi yake ya kututenganisha. Na wote tulikuja kuwa kwenye taaluma zenye mkondo mmoja na kuajiriwa na wizara moja.
 
Watanzania wenye asili ya Asia Tuwafanyaje????
Labda Ungeuliza wa Asia Tufanyeje?

KWASA BABU HILO LAKO NI SAWA kusema- wa Masai Tuwa fanyaje?
 
Back
Top Bottom