Roho inaniuma sana sitamani kumwacha ila no way out

Roho inaniuma sana sitamani kumwacha ila no way out

asan
Mahusiano ya mbali hayatawafikisha mahala popote pale utakapo ondoka zaidi yatawaumiza unatakiwa uje na plans , natambua kuna wakati katika maisha kuna fursa inatokea mbali na mahala ulipo weka makazi yako ya kudumu kila ulichokijenga kinaanza kuharibika, basi hapo unatakiwa kujikana na kujitoa i mean to sacrifice for everything in mean time ila baadae vitu vingine vitajiweka sawa, wanaume huwa tuna maamuzi magumu sana ili tuishi,maamuzi magumu ndiyo huwa yanatufanya tukose vingi inabaki kutumia theory ya the hard way is only way...cha msingi jitahidi usimuumize huyo binti panga mikakati naye nini cha kufanya ili msipoteze bond yenu na muimarishe mapenzi yenu, kila kitu kinawezekana ni wewe tu.
Asante sana Mkuu ushauri mzuri nitaufanyia Kazi
 
Acha kujipa stress dogo, kama mnapendana mtaendelea hata kama mpo mbali mbali, ikitokea penzi limevunjika basi sio riziki yako..unavita kifaa kingine maisha yanaendelea acha kulialia..safari ya mapenzi bado ni ndefu kwako[/QUOTE
daaaah
 
1. Ondoka alone
2. Usiondoke
3. Ondoka naye

Majibu hayo hapo juu yote ni sahihi, hivyo chagua uonacho ni muhimu Zaidi.
 
Kuna either nimuangaliaji wa tamthimilia au umesoma hizi shule za kishua,yote sawa we nenda huko ulaya tu usihofu
 
Mbona kama wewe ni form two?kwani shule zimefugwa
 
Ukirudi unakuta kashazalishwa, hapo ndipo utakapolia machozi ya damu. Muoe tu usepe nae kwa amani zote
 
kwa hayo maelezo yako nimegundua hufikirii kuoa ila unafikiria wenzio watakugongea mtoto....
 
Tuma namba na picha kama hutojal mkuu, tukusaidie kumfarij, sis ni ndugu dah nmeumia sana
 
Mkuu mke wangu na watoto wangu ndio begi langu popote pale niendapo;kwa kukushauri kama unampenda fanya maamuzi mazito nenda naye huyo ndio wa muhimu zaidi kuliko unachokitafuta.
 
Back
Top Bottom