Roho inaniuma sana sitamani kumwacha ila no way out

Hello guys what bout your weekend? i hope ts pretty fine

daah i have a girlfriend we hang on for two years now truly i got loved real love for her since we met she is my best friend, real i cant explain how much i love her. I remember one day i was blowing her up and i told her to come into my House we hang on together .sasa wakati wakuondoka home nikampa shilling elfu 10 kama nauli nakumbuka nilikua na elfu moja moja 4 mia 5 2 na elfu tano kavu nikampa zoote daah huwezi amini akachukua tuu shiling elfu 3 akanmbia inamtosha kufika nyumbani duuh.

NIkasema coz ndo mwanzo mwanzo labda anani ektia au labda hanipendi anaona ni Vibaya kula hela yangu daah niliwaza sana haya maneno but i was not right ndivo alivoo mpaka ninavoandika hapa still ni very humble girl na i have 98% hajawahi ku ni cheat.

Sasa kilichonifanya nije hapa natakiwa nikaishi mbali na yeye very Far naumia sana kumwacha nilivyomwambia hizi Habari amelia saana ananiambia our dreams got sink nikamuambia nah we still chasing our dreams my love. guys since nimemwambia hizi Habari truly amekua lonely saana najaribu ku comfort but still bado her eyes and face look sadness. Na mimi binafsi no way out lazima niondoke daa nawaza nikiondoka sijui itakuajee?

Naombeni ushauri nifanye nini wadau.
Moja wapo ya true love ni kusaidiana kipindi cha shida.
Sasa kwa vile mko mbali hiyo ni nafasi ya kuonyesha ukomavu wenu kwenye penzi lenu.
Baada ya muda si atarudi au utamfata?
Sasa tatizo ni nini? Hofu ya kukucheat au umcheat? basi kama ndio hivyo your weak, poor and powerless.
Mnapaswa muhimili changamoto mbalimbali moja moja ni umbali.
 
Ukiondoka tu nakuja kumpa hyo comfort [emoji23][emoji23][emoji23], anywaysss mkuu yani ile unaondoa mguu kuna mtu anaingiza mguu, haya mambo ya long distance to sisi Africans don't work, tuwaachie mbele tu, ila kama vip endelea kushikilia mgodi you never know your luck.
 
Hello guys what bout your weekend? i hope ts pretty fine

daah i have a girlfriend we hang on for two years now truly i got loved real love for her since we met she is my best friend, real i cant explain how much i love her. I remember one day i was blowing her up and i told her to come into my House we hang on together .sasa wakati wakuondoka home nikampa shilling elfu 10 kama nauli nakumbuka nilikua na elfu moja moja 4 mia 5 2 na elfu tano kavu nikampa zoote daah huwezi amini akachukua tuu shiling elfu 3 akanmbia inamtosha kufika nyumbani duuh.

NIkasema coz ndo mwanzo mwanzo labda anani ektia au labda hanipendi anaona ni Vibaya kula hela yangu daah niliwaza sana haya maneno but i was not right ndivo alivoo mpaka ninavoandika hapa still ni very humble girl na i have 98% hajawahi ku ni cheat.

Sasa kilichonifanya nije hapa natakiwa nikaishi mbali na yeye very Far naumia sana kumwacha nilivyomwambia hizi Habari amelia saana ananiambia our dreams got sink nikamuambia nah we still chasing our dreams my love. guys since nimemwambia hizi Habari truly amekua lonely saana najaribu ku comfort but still bado her eyes and face look sadness. Na mimi binafsi no way out lazima niondoke daa nawaza nikiondoka sijui itakuajee?

Naombeni ushauri nifanye nini wadau.
kama umekula mzigo hamsha popoooo
 
Back
Top Bottom