Roho inaniuma sana sitamani kumwacha ila no way out

Mbebe mgongoni
Hello guys what bout your weekend? i hope ts pretty fine

daah i have a girlfriend we hang on for two years now truly i got loved real love for her since we met she is my best friend, real i cant explain how much i love her. I remember one day i was blowing her up and i told her to come into my House we hang on together .sasa wakati wakuondoka home nikampa shilling elfu 10 kama nauli nakumbuka nilikua na elfu moja moja 4 mia 5 2 na elfu tano kavu nikampa zoote daah huwezi amini akachukua tuu shiling elfu 3 akanmbia inamtosha kufika nyumbani duuh.

NIkasema coz ndo mwanzo mwanzo labda anani ektia au labda hanipendi anaona ni Vibaya kula hela yangu daah niliwaza sana haya maneno but i was not right ndivo alivoo mpaka ninavoandika hapa still ni very humble girl na i have 98% hajawahi ku ni cheat.

Sasa kilichonifanya nije hapa natakiwa nikaishi mbali na yeye very Far naumia sana kumwacha nilivyomwambia hizi Habari amelia saana ananiambia our dreams got sink nikamuambia nah we still chasing our dreams my love. guys since nimemwambia hizi Habari truly amekua lonely saana najaribu ku comfort but still bado her eyes and face look sadness. Na mimi binafsi no way out lazima niondoke daa nawaza nikiondoka sijui itakuajee?

Naombeni ushauri nifanye nini wadau.

Watu tunalilia mademu wetu waondoke baada ya gegedo tutafute wengine, wewe unalialia na kuendekeza ujinga? Mjini hapa unatiwa vidole hadharani shauri yako.
 
Unaonekana unampenda sana huyo dada wa watu. Ila wanasema try to love but don't fall in love. Unaweza mpa % zote ila akakubadirikia juu kwa juu. We kama vipi nenda nae safari yako mkaanzishe maisha huko wote ila ukimwacha ukija kurudi hutaamini utakachokikuta na hapo ndo utajua kuwa hawa viumbe saingine n waigizaji wazuri tu
 
Watanzania bana jitu linajifanya linashangaa hakuna mtu mzoefu kwenye mapenzi, nakuambia ujakutana na mtu sahihi kwako tu kulia kawaida tu.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hivi mtu nimekutana na Girls 30 na michepuko 60 niondoke sehemu nilie! Kwa lipi ni mwendo wa kufurahia maana naenda kuwa mpya huko niendako.

Acha mzee baba mimi nishawah kudondosha chozi na nadhani sijakupita sana kwa idadi uliyotaja mbaya zaidi mwanamke mwenyewe nilikuwa nae na nina michepuko kadhaa mpaka leo nnambembeleza arudi
 
Watanzania bana jitu linajifanya linashangaa hakuna mtu mzoefu kwenye mapenzi, nakuambia ujakutana na mtu sahihi kwako tu kulia kawaida tu.
waambie wajuee mkuu coz mimi nawashangaa tuu
 
muvi la kihindi hili kama sio kikorea,.... atalia atanyamaza we sepa kama ni kwa ishu za maana, ila kaa ukijua huko unakimwacha mafisi wapo hivyo ukisikia kaliwa wala usishtuke cha msingi mpe nafasi yake kama unampenda kweli
 
Hello guys what bout your weekend? i hope ts pretty fine

daah i have a girlfriend we hang on for two years now truly i got loved real love for her since we met she is my best friend, real i cant explain how much i love her. I remember one day i was blowing her up and i told her to come into my House we hang on together .sasa wakati wakuondoka home nikampa shilling elfu 10 kama nauli nakumbuka nilikua na elfu moja moja 4 mia 5 2 na elfu tano kavu nikampa zoote daah huwezi amini akachukua tuu shiling elfu 3 akanmbia inamtosha kufika nyumbani duuh.

NIkasema coz ndo mwanzo mwanzo labda anani ektia au labda hanipendi anaona ni Vibaya kula hela yangu daah niliwaza sana haya maneno but i was not right ndivo alivoo mpaka ninavoandika hapa still ni very humble girl na i have 98% hajawahi ku ni cheat.

Sasa kilichonifanya nije hapa natakiwa nikaishi mbali na yeye very Far naumia sana kumwacha nilivyomwambia hizi Habari amelia saana ananiambia our dreams got sink nikamuambia nah we still chasing our dreams my love. guys since nimemwambia hizi Habari truly amekua lonely saana najaribu ku comfort but still bado her eyes and face look sadness. Na mimi binafsi no way out lazima niondoke daa nawaza nikiondoka sijui itakuajee?

Naombeni ushauri nifanye nini wadau.
Ulikua na lengo la kutuonyesha unajua kingereza so?
 
Back
Top Bottom