Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,052
Tusubiri kuchangisha rambirambi inaonekana ndo kwanza wametoboana tundu.
Hahaha
Hahaha
nishauri basi jamanii roho inaumaaMaskini...
Itakuwa aiseeTusubiri kuchangisha rambirambi inaonekana ndo kwanza wametoboana tundu.
Hahahaha.....mwambie anipe namba zake dadaOtherwise wachimba chumvi watamla huyo dada vibaya vibaya yani....
Ha haaaUnaonekana una huruma mseto!
Hivi mtu nimekutana na Girls 30 na michepuko 60 niondoke sehemu nilie! Kwa lipi ni mwendo wa kufurahia maana naenda kuwa mpya huko niendako.Itakuwa aisee
Ndio mkuuHivi bado kuna watu wanaliliana mmoja akienda mbali na mwenzake!
Acha kuwahurumia bado wapo kwenye penzi changa hao.Ha haaa
Wosia wa mapenzi kazi sana ipoHata kama tunajaribu kuficha ukweli kwa hawa chipukizi wa mapenzi ili wasije kuacha wosia.
Daaah natamani sana ni ngumu kwa sasanenda kwao ukajitambulishe kisha ondoka nae mkaanze maisha ya ndoa
Lazima mmoja atakuja kulia vizuri siku moja.Wosia wa mapenzi kazi sana ipo
wa piliNdo demu wako wa kwanza nn kukuonesha maupendo ya dhati kama hay?
Ndio mkuu
well said no way outTruth hurts [emoji16], but end of the day we ought to face the fact![emoji2210]
Wapo mkuuHivi bado kuna watu wanaliliana mmoja akienda mbali na mwenzake!
Aiseee hongera sana mkuu mimi ata wawili sijafikisha lakini Siwezi kuliaHivi mtu nimekutana na Girls 30 na michepuko 60 niondoke sehemu nilie! Kwa lipi ni mwendo wa kufurahia maana naenda kuwa mpya huko niendako.
Acha kujipa stress dogo, kama mnapendana mtaendelea hata kama mpo mbali mbali, ikitokea penzi limevunjika basi sio riziki yako..unavuta kifaa kingine maisha yanaendelea acha kulialia..safari ya mapenzi bado ni ndefu kwakonishauri basi jamanii roho inaumaa