Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Badili mazingira, mbinu za utafutaji na uongeze bidii.Roho inaniuma jamani Leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.
Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpka Leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii
Usiogope, wako watu wanamaisha na watoto lakini ni wagonjwa sana, wako watu wana maisha ila hata mtoto wa dawa hawana.Roho inaniuma jamani Leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.
Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpka Leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii
Mkuu pole sana....tupo pamoja just jana tuuu nimewaza hivi ningekuwa na mtoto tangu chuo....Mkuu tujilipue au uansemaje.Roho inaniuma jamani Leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.
Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpka Leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii
Mimi nina miaka 31 sasa hivi, niko kama wewe ila niko MAKINI.Roho inaniuma jamani Leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.
Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpka Leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii
Wa kujilipua tupo mkuu tupeane connectionMkuu pole sana....tupo pamoja just jana tuuu nimewaza hivi ningekuwa na mtoto tangu chuo....Mkuu tujilipue au uansemaje
Nyie si huwa mnasema huwezi kujitolea ukalipwa laki kwa mwezi. Pambana utafika tu.Roho inaniuma jamani Leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.