Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
Riz1 Kikwete kapost hvi facebook kuhusu Mnyika..

Hivi juzi bwana Nape Nnauye alijitokeza hadharani akisema juu ya uhakika alionao kuhusiana na elimu ya bwana Mnyika (mb) kuwa ameishia form Six. nikaguna kidogo hasa nikiangalia mambo mengi sana.

Mie nimepata nafasi ya kukaa na Mnyika pale chuoni na nikaona hata uhodari wake katika kuchochea migogoro. ninamkumbuka katika sakata la Mikopo ya wanafunzi na jinsi alivyoshauri wanafunzi waandamane waende IKULU kwa miguu.sasa swali au maswali ambayo sina jibu nayo ni kama haya

1. Nini kilitokea mNYIKA (MB) baada ya sisi kuondoka CHUONI? maana kumbukumbu zinaonyesha nilikuacha ukiendelea na masomo.

2. lini ulimaliza chuo pale mlimani?

3. unakumbuka habari ya Bw.Kihiyo wa jimbo la Temeke na ushuhuda wa ELIMU ambayo hakuwa nayo.

JITOKEZE HADHARANI TANABAISHA JUU YA UFAHAMU WAKO . MAANA WENGINE WAMEANZA SEMA ..................... NDIYO MAAANA KUMBE.!!!!!

My take.
HUYU JAMAA KUMBE NI MBUMBUMBU KAMA MDINGI WAKE,JE MNYIKA AKITAJA ELIMU YAKE NINI KITABADILIKA TZ..
 
Riz1 Kikwete kapost hvi facebook kuhusu Mnyika..

My take.
HUYU JAMAA KUMBE NI MBUMBUMBU KAMA MDINGI WAKE,JE MNYIKA AKITAJA ELIMU YAKE NINI KITABADILIKA TZ..

Uaminifu kwa jamii maana hata kwenye website ya bunge hapajaandikwa kitu kinachohusu elimu yake.

Kwani elimu ni siri?
 
Hizi siasa za kina Nape hizi........kha! huyo Rais wetu anayeitwa Dr mpaka sasa ametunyesha nini chakufanya tusifie elimu yake? Nape na SERIKALI yako tafuteni ufumbuzi wa matatizo ya Watanzania udini unatamalaki nchini acheni kuhangaika na elimu ya Mnyika.
 
Duh!tulianza dini,sasa elimu mwisho mtoto wa nani wapi tunakwenda.
 
Aliyesomeshwa na CCM na kutumia nguvu kubwa ya ubalozi wa Tanzania India kupata Admission Acharya university-Bangalore,India ana Termerity ya kuhoji elimu ya Mnyika?

Na huyu mwingine aliyedandia akiambiwa alete Tasnifu(thesis) yake ya shada ya uzamili kwenye sheria LLM kule hulls university ataleta? Mnyika hajawahi kuwa na taaluma Fake kama huko CCM ambako mtu yeyote anaweza kujiita professa (mganga wa kienyeji na mfuga majini) au Doctor kisha baadae anarudi kusoma shule kuusomea udaktari ambao ameshajipa title.TCU imeshathibitisha makada wengi wa CCM wenye shahada fake

-Hebu turudi katika hoja za msingi na sio story za kutunga za vijiweni.Katibu wa itikadi na uenezi anaongea trivial issues?
 
Kwa hakika Rizone naye ni mbumbumbu. Yeye mwenyewe alimaliza shahada yake ya sheria kwa kuchechemea akaishia kuondoka na overall GPA yenye namba za viatu baada ya kuukwaa mkenge kwenye Dissertation yake ambapo aliambulia "C". The lowest grade in an 8 Unit course. Poor Rizone. Like the father like the son
 
Naskia dessertation ya NAPE ya masters hakuitetea mwenyewe kama inavyotakiwa, badala yake aliweka wakili a.k.a mamluki nani sijui ndipo akapeta pale Mzumbe. Kuna uzi humu humu unalisema hilo leo hii hii. (Ref: Ulukolokwitanga)
 
Na huyu mwingine aliyedandia akiambiwa alete Tasnifu(thesis) yake ya shada ya uzamili kwenye sheria LLM kule hulls university ataleta?

Kaka sikiliza simulizi za alfa ulellah.......

Mr. Kikwete is a young and dynamic legal practitioner with 5 years experience in legal practice having worked with reputable law firms in and outside Tanzania.Before joining GRK Advocates as a partner Mr. Kikwete worked with IMMA Advocates holding different challenging positions from January 2005 to December 2010.

During the same period Mr. Kikwete was attached to DLA Piper in London, one of ten largest law firms in the world where he was exposed to high level legal practice in the area of project financing. Both at IMMA Advocates and DLA Piper Mr. Kikwete was involved in various areas of modern day legal practice ranging from legal drafting to major aspects of project financing including due diligence inquiries, loan negotiations, consortium building and mortgage financing. His five years period of his legal practice saw him moving within the ranks of the law firms from legal officer to a partner level. Mr. Kikwete is therefore equipped with sufficient administrative as well as technical skills required for running a successful law practice.

Mr. Kikwete was admitted to the bar of advocates in 2009. He is also handling commercial and corporate litigation matters at all levels of court system and quasi- judicial tribunals. At GRK Advocates Mr. Kikwete is a partner in charge of Administration and Business Development.

He is a member of Tanganyika and East Africa Law Societies. Apart from the law degree Mr. Kikwete holds Postgraduate Certificate in Business Development from the Hull University (UK)
 
Kama RIZ kaka yake Mwanaasha alikuwa pamoja na Mnyika basi nimeamini yale maneno = Kumbe JK anaiba pochi yetu na kumkabithi huyu kilaza!! Utajiri mkubwa umeiba wapi kama siyo "godown la babayo". Subiri your days are numbered RItz
 
Kaka sikiliza simulizi za alfa ulellah.......

Mr. Kikwete is a young and dynamic legal practitioner with 5 years experience in legal practice having worked with reputable law firms in and outside Tanzania.Before joining GRK Advocates as a partner Mr. Kikwete worked with IMMA Advocates holding different challenging positions from January 2005 to December 2010.

During the same period Mr. Kikwete was attached to DLA Piper in London, one of ten largest law firms in the world where he was exposed to high level legal practice in the area of project financing. Both at IMMA Advocates and DLA Piper Mr. Kikwete was involved in various areas of modern day legal practice ranging from legal drafting to major aspects of project financing including due diligence inquiries, loan negotiations, consortium building and mortgage financing. His five years period of his legal practice saw him moving within the ranks of the law firms from legal officer to a partner level. Mr. Kikwete is therefore equipped with sufficient administrative as well as technical skills required for running a successful law practice.

Mr. Kikwete was admitted to the bar of advocates in 2009. He is also handling commercial and corporate litigation matters at all levels of court system and quasi- judicial tribunals. At GRK Advocates Mr. Kikwete is a partner in charge of Administration and Business Development.

He is a member of Tanganyika and East Africa Law Societies. Apart from the law degree Mr. Kikwete holds Postgraduate Certificate in Business Development from the Hull University (UK)

hivi kuna mtu anafahamu kesi hata moja iliyosimamiwa na riz1 kama mwanasheria??
 
Kwa hakika Rizone naye ni mbumbumbu. Yeye mwenyewe alimaliza shahada yake ya sheria kwa kuchechemea akaishia kuondoka na overall GPA yenye namba za viatu baada ya kuukwaa mkenge kwenye Dissertation yake ambapo aliambulia "C". The lowest grade in an 8 Unit course. Poor Rizone. Like the father like the son

Tena alivuka kwa kusaidiwa na mtu ambaye akapewa asante ya UJAJI" Shame on them"
 
Uaminifu kwa jamii maana hata kwenye website ya bunge hapajaandikwa kitu kinachohusu elimu yake.

Kwani elimu ni siri?
Kwangu mimi uadililifu ndio sifa ya kwanza anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote ninayemuhitaji. Tujifanye wajinga kuwa hana elimu, lakini anazo sifa zingine zote anazostahili kuwa nazo kiongozi.

Maoni yangu:

Acheni kujadili watu jadilini hoja (matatizo ya watanzania mliyowasababishia kwa miaka hamsini na moja (51)). Kujadili watu ni ishara ya kushindwa hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom