Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

Barige nadhani itakuwa vema sasa ukiupdate na wewe hapo kwenye hiko kiunganishi cha ntamaholo.
 
Ahsanteni sana kitabu hiki nilikisoma nikiwa darasa la nne mwaka tisini na tano.. Si hiki tumevisoma vingi na Vingi, Ahsanteni kwa kukileta tena.. Mmenifanya Nihamie huku milele kutoka kule MMU...
 
Nakumbuka nilipokipata sikuweza kusitisha kukisoma, nilitaka nikimalize na nilikua nikisoma hata darasani tena mwalimu akiwa akifundisha.

Ila usiku nilikua naogopa sana, sikuwa naweza kuwa peke yangu hata kwa nusu sekunde!
 
Nimekumbuka mbali kwa kuwa sikutegemea kurudi na roho yangu baada ya miaka zaidi ya 30 toka nilipokutana na Joram Kiango ndani ya Riwaya hii.

Asanteni wote mliojitolea kuileta hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom