SIRI PART2: MTUNZI PATRICK CK
MAISHA NA KIFO CHA MELANIE CHUMA
SEASON 3: EPISODE 11
Akiwa amepitiwa na
usingizi sofani,Gosu Gosu
alihisi kama mikono laini
inamgusa shingo
yake.Akajaribu kufumbua
macho kweli kulikuwa na
mtu mbele yake
“Sandra” akasema Gosu
Gosu
“Samahani kwa
kukatisha usingizi
wako”akasema Sandra
“It’s okay” akasema Gosu
Gosu na kunyanyuka haraka
akainyakua bastora yake
“Any danger?akauliza
“Relax Gosu
Gosu.Hakuna hatari
yoyote.Kumekucha tayari.Ni
muda wa kuendelea na kazi”
akasema Sandra na kuelekea
katika kompyuta
“Sikufumba macho toka
nilipoanza uchunguza
kompyuta hizi za Tamar na
nimefanikiwa kupata mambo
kadhaa.Nadhani
tungekutana wote ili
niwaeleze kile
nilichobahatika kukipata”
akasema Sandra.Gosu Gosu
akaenda kuwaamsha Austin
na Agatha wote wakakutana
ofisini
“Kuna mambo kadhaa
nimefanikiwa kuyapata
katika kompyuta hii kubwa
ya Tamar.Kwanza kabisa
Tamar amekuwa akipokea
fedha kutoka katika akaunti
moja kwenye benki ya Autum
iliyoko Ufaransa.Sijaweza
kumpata mmiliki wa akaunti
hiyo kwani amefichwa lakini
inaonyesha ni fedha nyingi
amekuwa akipokea.Akaunti
yake iliyoko katika benki
moja hapa nchini ina shilingi
bilioni mbili na milioni mia
sita sabini na tisa”Sandra
akanyamaza
“Ni fedha nyingi sana”
akasema Austin
“Ndiyo maana hakuona
ugumu kunipatia zaidi ya
milioni moja kila siku”
akasema Agatha
“Tamar ni mtu makini
sana na amekuwa makini
katika kuchunga
mawasiliano yake kama
nilivyowaambia kwamba
nilimtengenezea program
maalum ya kufuta rekodi za
mawasiliano yake yote ya
simu na ndivyo anavyofanya
katika kompyuta yake kila
anapowasiliana na mtu
hufuta kila kitu.Kwa bahati
mbaya kwake na nzuri kwetu
nilikuta kuna barua pepe
ambayo aliisoma na kusahau
kuifuta ambayo iliingia jana
usiku.Imetoka kwa mtu
anaitwa Dinosaur”
“Dinosaur? Akauliza
Gosu Gosu na kutoa kicheko
kidogo
“Wanyama hawa
wamekwisha toweka duniani
miaka mingi.” Akasema
Austin kwa utani
“Mtu huyo anajiita
Dinosaur amemtumia Tamar
ujumbe huu” akasema
Sandra na kuwaonyesha
akina Austin ule ujumbe
uliotumwa na Dinosaur
“Awamu ya kwanza na
ya pili zimemalizika
vyema,jiandae kwa awamu
kubwa ya tatu.Nimetaarifiwa
njiwa anaandaliwa na muda
wowote atatua Dar es
salaam.Maandalizi
yamekamilika?
Hivi ndivyo ulisomeka
ujumbe ule aliotumiwa
Tamar.Ukimya ulitanda pale
sebuleni baada ya muda
Austin akasema
“Kama alivyosema Gosu
Gosu kazi bado tunayo
kubwa.Huyo Dinosaur ni
nani? Umeweza kufuatilia
barua pepe yake na
kumgundua mahala
alipo?akauliza Austin
“Nimejaribu lakini
sijafanikiwa.Ni mtandao wa
watu makini na wenye
utaalamu mkubwa katika
kuficha mambo yao”
akasema Sandra
“Kuna mpango mkubwa
unaandaliwa kati ya Tamar
na huyo Dinosaur.Kuna mtu
anakuja Dar es salaam
ambaye katika maelezo haya
ametajwa kama
njiwa.Dinosaur pia ametaja
kumalizika kwa awamu ya
kwanza na ya pili na sasa
wanaingia katika awamu ya
tatu inaonekana kuna
mpango mkubwa
unaoendelea ambao una
awamu tatu na mbili tayari
zimekamilika na sasa
inafuata awamu ya tatu
ambayo ndiyo hiyo
inamuhusisha huyo njiwa
anayetarajiwa kuingia nchini
hivi karibuni.Tumebaki njia
panda”akasema Austin
“Hili ni fumbo kubwa
tulimuhitaji sana Tamar
aweze kutupa majibu ya
maswali haya”akasema Gosu
Gosu
“Tamar hayupo,hivyo
basi tuna kazi kubwa mbele
yetu.Tayari tuna huyu mtu
anaitwa
Dinosaur.Tunatakiwa
kumfahamu ni nani yuko
wapi na nini mipango yao na
Tamar.Kuna ile akaunti
ambayo imekuwa ikitumika
kumtumia Tamar fedha
katika akaunti yake hiyo
nayo tunapaswa kuifahamu
ni ya nani.Kazi nyingine
kubwa ambayo tunayo ni
kumfahamu mtu ambaye
ametajwa kwa jina la njiwa
ni nani?Hiyo ndiyo kazi
kubwa iliyoko mbele yetu”
akasema Austin
“Bado haikuishia hapo”
akasema Sandra
“Katika kompyuta hii pia
nimegundua kuna faili moja
lilikuwa limefichwa sana lina
video mbili.Katika video hizo
anaonekana Tamar na mtu
ambaye naamini ni Rais Dr
Fabian wakifanya mapenzi
lakini Dr Fabian anaonekana
akimuingilia Tamar kwa
nguvu”akasema Sandra
“What?akauliza Gosu
Gosu na Sandra akacheza
video moja.Katika video hiyo
Tamar anaonekana akiwa
kitandani amejipumzisha
akiwa na nguo ya ndani na
mara akatokea mtu mmoja
ambaye sura yake ilikuwa
inafanana na Dr Fabian
akaenda kulala pembeni
yake na kuanza kumtomasa
Tamar.Kulitokea
kutokuelewana kati yao na
Tamar akamnasa kofi.Dr
Fabian akaonekana
kukasirika akamnasa Tamar
makofi mfululizo Tamar
akajikunja kitandani
akilia,Dr Fabian akachukua
waya akamfunga Tamar
mikono kwa nyuma halafu
akaanza kumuingilia huku
akiwa amemziba
mdomo.Alipomaliza akavaa
nguo zake na kumfungua ule
waya aliomfunga halafu
akaondoka zake akamuacha
Tamar kitandani
akilia.Baada ya muda
akainuka na kwenda kuizima
kamera iliyokuwa ikichukua
video ile.Video ya pili
anaonekana Tamar akitoka
kuwasha kamera na vinywaji
vikaonekana mezani.Baada
ya muda akatokea Fabian
akiwa anafunga vizuri
suruali yake.Alionekana
ametoka maliwato.Akaketi
pembeni ya Tamar wakaanza
kunywa pombe huku
wakivuta sigara.Mara
Fabian akambusu Tamar
shavuni na kutaka kutoa
ulimi wake akaupeleka
katika mdomo wa Tamar
ambaye hakuonekana
kupendezwa na kitendo kile
akamnasa kofi.Fabian
alichukizwa na kitendo cha
Tamar kumnasa kofi
akasimama na kumnasa
Tamar makofi mawili
mfululizo halafu
akamsukumia katika sofa na
kuichana sketi aliyokuwa
ameivaa Tamar halafu
akaivuta nguo ya ndani
akaitupa chini akashusha
suruali yake na kuanza
kumuingilia Tamar huku
akimnasa
makofi.Alipomaliza akavaa
suruali yake na
kuondoka.Tamar akaenda
kuizima kamera.Sebule
ilikuwa kimya kila mmoja
alipatwa na mshangao
mkubwa.
“I can’t believe this !
akasema Gosu Gosu
“Play that again.Nataka
nihakikishe kama kweli
huyu anayeonekana katika
video hii ni Dr Fabian huyu
Rais wetu au ni video ya
kutengeneza.Teknolojia
imekua sana zama hizi na
watu wanaweza kutengeneza
video kwa ajili ya kumchafua
mtu Fulani” akasema Austin
na Sandra akaicheza tena ile
video.
“Play it again ! akasema
Austin ikachezwa tena.
“Sandra unaweza
ukanihakikishia kwamba
anayeonekana katika video
hii ni Rais Dr
Fabian?akauliza Austin
“Kuna progamu ya
utambuzi wa sura ambayo
inaweza kutusaidia kujua
kama kweli huyu
anayeonekana katika video
hii ni Rais Dr Fabian.Tatizo
ni kwamba program hiyo iko
SNSA na ili kuipata lazima
nitumie akaunti yangu.Je
mtakuwa tayari nitumie
akaunti yangu ya
SNSA?akauliza Sandra
“Do it” akasema
Austin.Sandra akaingia
katika akaunti yake ya
SNSA akafungua program
hiyo ya kutambua sura na
kuchukua picha iliyoko
katika ile video akaiingiza
katika program ikaanza
kutafuta.Baada ya sekunde
chache program ikatoa
majibu na ikathibitisha Yule
ni Rais Dr Fabian.
“Oh my God ! akasema
Austin
“Sasa nimeanza kupata
picha kwa nini Dr Fabian
amekuwa mwepesi sana
kumsikiliza Tamar kila
atakachomweleza.Ni kwa
sababu ya video
hizi.Tumejiuliza mimi na
Austin kwa nini Dr Fabian
anampa Tamar kipaumbele
kikubwa namna hii sasa jibu
tumelipata” akasema Gosu
Gosu
“Kuna kitu nimekiona
katika video hizi
mbili.Ukitazama video hizi
mbili utaona kamera
iliyokuwa inachukua videro
hizi ilitegwa mahala ambako
Dr Fabian asingeweza
kuiona wala kujua kama
wanarekodiwa.Tunaona
baada ya matukio yote
mawili kumalizika Tamar
anainuka na kwenda kuzima
kamera.Hii inaonyesha
kwamba alitegemea kitendo
kile kutokea” akasema
Sandra
“Nakubaliana na Sandra”
akasema Austin
“Inaonyesha wazi kabisa
kwamba Tamar alitegemea
matukio yale kutokea na
akatega kamera ili
arekodi.Nini hasa lengo lake
kurekodi akitendewa vile na
Dr Fabian?akauliza Austin
“Nahisi Tamar amekuwa
na mahusiano na Dr Fabian
na inawezekana hii ni tabia
ya Dr Fabian na alikuwa
akimtendea hivi mara kwa
mara ndiyo maana akaamua
kumrekodi.Na mimi narejea
swali lako kwa nini
amrekodi? Gosu Gosu
akauliza
“Nahisi Tamar alitumiwa
na watu ili kurekodi video
zile”akasema Agatha
“Walimtumia kwa
madhumuni yapi? Video hizi
zinaonyesha ni za muda
mrefu kabla ya Dr Fabian
hajawa Rais.Je kama ni watu
walimtumia Tamar kurekodi
ile video walijua kama Dr
Fabiuan atakuwa Rais wa
Tanzania? Akauliza Sandra
“Tuna mengi bado ya
kuyatafutia majawabu”
akasema Austin
“Jamani nina wazo.Tuna
mambo mengi ya kuyatafutia
majawabu kama alivyosema
Austin lakini mikono yetu
imefungwa.Austin
unatafutwa na SNSA,Agatha
anatafutwa na SNSA mimi
pia nitakuwa ninatafutwa
kwa vile ni mtu wa mwisho
kuwasiliana na Tamar
simuni.Kazi yetu itakuwa
ngumu sana hivyo nina
ushauri”
“Go ahead” akasema
Austin
“Tumetoa jasho jingi
kuhakikisha Rais anakuwa
salama.Haikuwa kazi
nyepesi kuzipata rekodi zile
ambazo kama zingetumika
zingemuweka pabaya sana
Rais wetu,maisha ya watu
pia yamepotea katika
kuzitafuta zile video lakini
Rais hajui kitu
kinachoendelea.Kwa kazi hii
kubwa tuliyoifanya we need
something in
return.Tumtake Rais amteue
mmoja wetu hapa awe mkuu
wa SNSA baada ya Tamar
kufariki.Kama tukifanikiwa
kumpata mmoja wetu katika
nafasi hiyo basi tutaweza
kufanikisha mipango yetu
iliyobaki.Pale SNSA kuna
kila kitu tunachokihitaji ili
kutusaidia kufanikisha
mipango yetu”akasema
Sandra
“That’s a good idea.Una
akili sana Sandra”akasema
Austin
“Wazo hili linastahili
tuzo” akasema Gosu Gosu na
wote wakatoaa kicheko
“Ahsante kama nyote
mnakubaliana na wazo
hili.Nani basi kati yetu
ambaye tumpendekeze awe
mkuu wa SNSA endapo Rais
atakubali? Akauliza Sandra
“Austin anafaa sana”
akasema Agatha
“Mimi hapana.Tayari
mimi ni mkuu wa kikosi cha
operesheni maalum hivyo
nafasi yangu naomba ibaki
hivyo hivyo.Kwa nini asiwe
Gosu Gosu?
“Me ?akauliza Gosu Gosu
na kucheka
“I’m a killer.Nikipewa
nafasi hiyo kila siku watu
watakuwa wanakufa”
akasema Gosu Gosu na wote
wakacheka
“Seriously I’m not fit for
that position lakini kuna mtu
ambaye anaweza akafaa
sana katika nafasi hiyo”
akasema na kunyamaza
“Nani ?akauliza Austin
“Ruby”
“Ruby?
“Ndiyo.Anafaa sana kwa
nafasi hii.Tukimuweka pale
SNSA nina uhakika kila kitu
kitakwenda vizuri”
“Whos’s she?akauliza
Sandra
“Ruby ni mchawi wa
kompyuta.Anaijua kompyuta
kuliko aliyeigundua.Kwa
sasa yuko uingereza
anafanya kazi katika
mamlaka kuu ya
mawasiliano ya kiintelijensia
nchini Uingereza GCHQ”
“Wow ! huyo anaonekana
anaweza kuwa chaguo
zuri”akasema Sandra
“She’s more than perfect
for this position” akasema
Gosu Gosu
“Wote tunakubaliana
kwamba Ruby achukue
nafasi hiyo? Akauliza Austin
na wote
wakakubaliana.Austin
akachukua simu yake
akaiwasha na kumpigia Dr
Fabian
“Austin ! Akauliza Dr
Fabian kwa sauti iliyojaa
wasiwasi
“Mheshimiwa Rais
ahsante kwa kupokea simu
yangu.Nahitaji kuonana
nawe”
“After what you’ve done
do you think I’m going to
trust you again?akauliza Dr
Fabian kwa ukali
“I’ve done nothing bad to
you Mr President.Tafadhali
naomba uniruhusu nije
kuonana nawe.Nina jambo la
muhimu sana la
kuzungumza nawe”
“Austin sina muda wa
kuonana nawe!
Naku…………” akasema Dr
Fabian lakini Austin
akamkatisha
“Mheshimiwa Rais kabla
ya alasiri ya leo nchi
itatikiswa kwa rekodi za
mazungumzo yako na Rais
Patrice Eyenga kuhusiana na
mauaji ya Lucy Muganza”
akasema Austin
“Mazungumzo?! Akauliza
DrFabian
“Ndiyo utayafahamu
hapo baadae mheshimiwa
Rais”
“Are you trying to
threaten me young
man?akauliza Dr Fabian
“Hapana mheshimiwa
Rais sina uwezo huo lakini
naomba tusifike huko kwani
madhara yake ni makubwa
hasa kwa upande
wako.Naomba tuonane
mheshimiwa Rais
tuzungumze”akasema
Austin.Dr Fabian akafikiri
kidogo kisha akasema
“Fine.Saa tano za
asubuhi njoo hapa ikulu”
akasema Dr Fabian na
kukata simu
MAISHA NA KIFO CHA MELANIE CHUMA
SEASON 3: EPISODE 11
Akiwa amepitiwa na
usingizi sofani,Gosu Gosu
alihisi kama mikono laini
inamgusa shingo
yake.Akajaribu kufumbua
macho kweli kulikuwa na
mtu mbele yake
“Sandra” akasema Gosu
Gosu
“Samahani kwa
kukatisha usingizi
wako”akasema Sandra
“It’s okay” akasema Gosu
Gosu na kunyanyuka haraka
akainyakua bastora yake
“Any danger?akauliza
“Relax Gosu
Gosu.Hakuna hatari
yoyote.Kumekucha tayari.Ni
muda wa kuendelea na kazi”
akasema Sandra na kuelekea
katika kompyuta
“Sikufumba macho toka
nilipoanza uchunguza
kompyuta hizi za Tamar na
nimefanikiwa kupata mambo
kadhaa.Nadhani
tungekutana wote ili
niwaeleze kile
nilichobahatika kukipata”
akasema Sandra.Gosu Gosu
akaenda kuwaamsha Austin
na Agatha wote wakakutana
ofisini
“Kuna mambo kadhaa
nimefanikiwa kuyapata
katika kompyuta hii kubwa
ya Tamar.Kwanza kabisa
Tamar amekuwa akipokea
fedha kutoka katika akaunti
moja kwenye benki ya Autum
iliyoko Ufaransa.Sijaweza
kumpata mmiliki wa akaunti
hiyo kwani amefichwa lakini
inaonyesha ni fedha nyingi
amekuwa akipokea.Akaunti
yake iliyoko katika benki
moja hapa nchini ina shilingi
bilioni mbili na milioni mia
sita sabini na tisa”Sandra
akanyamaza
“Ni fedha nyingi sana”
akasema Austin
“Ndiyo maana hakuona
ugumu kunipatia zaidi ya
milioni moja kila siku”
akasema Agatha
“Tamar ni mtu makini
sana na amekuwa makini
katika kuchunga
mawasiliano yake kama
nilivyowaambia kwamba
nilimtengenezea program
maalum ya kufuta rekodi za
mawasiliano yake yote ya
simu na ndivyo anavyofanya
katika kompyuta yake kila
anapowasiliana na mtu
hufuta kila kitu.Kwa bahati
mbaya kwake na nzuri kwetu
nilikuta kuna barua pepe
ambayo aliisoma na kusahau
kuifuta ambayo iliingia jana
usiku.Imetoka kwa mtu
anaitwa Dinosaur”
“Dinosaur? Akauliza
Gosu Gosu na kutoa kicheko
kidogo
“Wanyama hawa
wamekwisha toweka duniani
miaka mingi.” Akasema
Austin kwa utani
“Mtu huyo anajiita
Dinosaur amemtumia Tamar
ujumbe huu” akasema
Sandra na kuwaonyesha
akina Austin ule ujumbe
uliotumwa na Dinosaur
“Awamu ya kwanza na
ya pili zimemalizika
vyema,jiandae kwa awamu
kubwa ya tatu.Nimetaarifiwa
njiwa anaandaliwa na muda
wowote atatua Dar es
salaam.Maandalizi
yamekamilika?
Hivi ndivyo ulisomeka
ujumbe ule aliotumiwa
Tamar.Ukimya ulitanda pale
sebuleni baada ya muda
Austin akasema
“Kama alivyosema Gosu
Gosu kazi bado tunayo
kubwa.Huyo Dinosaur ni
nani? Umeweza kufuatilia
barua pepe yake na
kumgundua mahala
alipo?akauliza Austin
“Nimejaribu lakini
sijafanikiwa.Ni mtandao wa
watu makini na wenye
utaalamu mkubwa katika
kuficha mambo yao”
akasema Sandra
“Kuna mpango mkubwa
unaandaliwa kati ya Tamar
na huyo Dinosaur.Kuna mtu
anakuja Dar es salaam
ambaye katika maelezo haya
ametajwa kama
njiwa.Dinosaur pia ametaja
kumalizika kwa awamu ya
kwanza na ya pili na sasa
wanaingia katika awamu ya
tatu inaonekana kuna
mpango mkubwa
unaoendelea ambao una
awamu tatu na mbili tayari
zimekamilika na sasa
inafuata awamu ya tatu
ambayo ndiyo hiyo
inamuhusisha huyo njiwa
anayetarajiwa kuingia nchini
hivi karibuni.Tumebaki njia
panda”akasema Austin
“Hili ni fumbo kubwa
tulimuhitaji sana Tamar
aweze kutupa majibu ya
maswali haya”akasema Gosu
Gosu
“Tamar hayupo,hivyo
basi tuna kazi kubwa mbele
yetu.Tayari tuna huyu mtu
anaitwa
Dinosaur.Tunatakiwa
kumfahamu ni nani yuko
wapi na nini mipango yao na
Tamar.Kuna ile akaunti
ambayo imekuwa ikitumika
kumtumia Tamar fedha
katika akaunti yake hiyo
nayo tunapaswa kuifahamu
ni ya nani.Kazi nyingine
kubwa ambayo tunayo ni
kumfahamu mtu ambaye
ametajwa kwa jina la njiwa
ni nani?Hiyo ndiyo kazi
kubwa iliyoko mbele yetu”
akasema Austin
“Bado haikuishia hapo”
akasema Sandra
“Katika kompyuta hii pia
nimegundua kuna faili moja
lilikuwa limefichwa sana lina
video mbili.Katika video hizo
anaonekana Tamar na mtu
ambaye naamini ni Rais Dr
Fabian wakifanya mapenzi
lakini Dr Fabian anaonekana
akimuingilia Tamar kwa
nguvu”akasema Sandra
“What?akauliza Gosu
Gosu na Sandra akacheza
video moja.Katika video hiyo
Tamar anaonekana akiwa
kitandani amejipumzisha
akiwa na nguo ya ndani na
mara akatokea mtu mmoja
ambaye sura yake ilikuwa
inafanana na Dr Fabian
akaenda kulala pembeni
yake na kuanza kumtomasa
Tamar.Kulitokea
kutokuelewana kati yao na
Tamar akamnasa kofi.Dr
Fabian akaonekana
kukasirika akamnasa Tamar
makofi mfululizo Tamar
akajikunja kitandani
akilia,Dr Fabian akachukua
waya akamfunga Tamar
mikono kwa nyuma halafu
akaanza kumuingilia huku
akiwa amemziba
mdomo.Alipomaliza akavaa
nguo zake na kumfungua ule
waya aliomfunga halafu
akaondoka zake akamuacha
Tamar kitandani
akilia.Baada ya muda
akainuka na kwenda kuizima
kamera iliyokuwa ikichukua
video ile.Video ya pili
anaonekana Tamar akitoka
kuwasha kamera na vinywaji
vikaonekana mezani.Baada
ya muda akatokea Fabian
akiwa anafunga vizuri
suruali yake.Alionekana
ametoka maliwato.Akaketi
pembeni ya Tamar wakaanza
kunywa pombe huku
wakivuta sigara.Mara
Fabian akambusu Tamar
shavuni na kutaka kutoa
ulimi wake akaupeleka
katika mdomo wa Tamar
ambaye hakuonekana
kupendezwa na kitendo kile
akamnasa kofi.Fabian
alichukizwa na kitendo cha
Tamar kumnasa kofi
akasimama na kumnasa
Tamar makofi mawili
mfululizo halafu
akamsukumia katika sofa na
kuichana sketi aliyokuwa
ameivaa Tamar halafu
akaivuta nguo ya ndani
akaitupa chini akashusha
suruali yake na kuanza
kumuingilia Tamar huku
akimnasa
makofi.Alipomaliza akavaa
suruali yake na
kuondoka.Tamar akaenda
kuizima kamera.Sebule
ilikuwa kimya kila mmoja
alipatwa na mshangao
mkubwa.
“I can’t believe this !
akasema Gosu Gosu
“Play that again.Nataka
nihakikishe kama kweli
huyu anayeonekana katika
video hii ni Dr Fabian huyu
Rais wetu au ni video ya
kutengeneza.Teknolojia
imekua sana zama hizi na
watu wanaweza kutengeneza
video kwa ajili ya kumchafua
mtu Fulani” akasema Austin
na Sandra akaicheza tena ile
video.
“Play it again ! akasema
Austin ikachezwa tena.
“Sandra unaweza
ukanihakikishia kwamba
anayeonekana katika video
hii ni Rais Dr
Fabian?akauliza Austin
“Kuna progamu ya
utambuzi wa sura ambayo
inaweza kutusaidia kujua
kama kweli huyu
anayeonekana katika video
hii ni Rais Dr Fabian.Tatizo
ni kwamba program hiyo iko
SNSA na ili kuipata lazima
nitumie akaunti yangu.Je
mtakuwa tayari nitumie
akaunti yangu ya
SNSA?akauliza Sandra
“Do it” akasema
Austin.Sandra akaingia
katika akaunti yake ya
SNSA akafungua program
hiyo ya kutambua sura na
kuchukua picha iliyoko
katika ile video akaiingiza
katika program ikaanza
kutafuta.Baada ya sekunde
chache program ikatoa
majibu na ikathibitisha Yule
ni Rais Dr Fabian.
“Oh my God ! akasema
Austin
“Sasa nimeanza kupata
picha kwa nini Dr Fabian
amekuwa mwepesi sana
kumsikiliza Tamar kila
atakachomweleza.Ni kwa
sababu ya video
hizi.Tumejiuliza mimi na
Austin kwa nini Dr Fabian
anampa Tamar kipaumbele
kikubwa namna hii sasa jibu
tumelipata” akasema Gosu
Gosu
“Kuna kitu nimekiona
katika video hizi
mbili.Ukitazama video hizi
mbili utaona kamera
iliyokuwa inachukua videro
hizi ilitegwa mahala ambako
Dr Fabian asingeweza
kuiona wala kujua kama
wanarekodiwa.Tunaona
baada ya matukio yote
mawili kumalizika Tamar
anainuka na kwenda kuzima
kamera.Hii inaonyesha
kwamba alitegemea kitendo
kile kutokea” akasema
Sandra
“Nakubaliana na Sandra”
akasema Austin
“Inaonyesha wazi kabisa
kwamba Tamar alitegemea
matukio yale kutokea na
akatega kamera ili
arekodi.Nini hasa lengo lake
kurekodi akitendewa vile na
Dr Fabian?akauliza Austin
“Nahisi Tamar amekuwa
na mahusiano na Dr Fabian
na inawezekana hii ni tabia
ya Dr Fabian na alikuwa
akimtendea hivi mara kwa
mara ndiyo maana akaamua
kumrekodi.Na mimi narejea
swali lako kwa nini
amrekodi? Gosu Gosu
akauliza
“Nahisi Tamar alitumiwa
na watu ili kurekodi video
zile”akasema Agatha
“Walimtumia kwa
madhumuni yapi? Video hizi
zinaonyesha ni za muda
mrefu kabla ya Dr Fabian
hajawa Rais.Je kama ni watu
walimtumia Tamar kurekodi
ile video walijua kama Dr
Fabiuan atakuwa Rais wa
Tanzania? Akauliza Sandra
“Tuna mengi bado ya
kuyatafutia majawabu”
akasema Austin
“Jamani nina wazo.Tuna
mambo mengi ya kuyatafutia
majawabu kama alivyosema
Austin lakini mikono yetu
imefungwa.Austin
unatafutwa na SNSA,Agatha
anatafutwa na SNSA mimi
pia nitakuwa ninatafutwa
kwa vile ni mtu wa mwisho
kuwasiliana na Tamar
simuni.Kazi yetu itakuwa
ngumu sana hivyo nina
ushauri”
“Go ahead” akasema
Austin
“Tumetoa jasho jingi
kuhakikisha Rais anakuwa
salama.Haikuwa kazi
nyepesi kuzipata rekodi zile
ambazo kama zingetumika
zingemuweka pabaya sana
Rais wetu,maisha ya watu
pia yamepotea katika
kuzitafuta zile video lakini
Rais hajui kitu
kinachoendelea.Kwa kazi hii
kubwa tuliyoifanya we need
something in
return.Tumtake Rais amteue
mmoja wetu hapa awe mkuu
wa SNSA baada ya Tamar
kufariki.Kama tukifanikiwa
kumpata mmoja wetu katika
nafasi hiyo basi tutaweza
kufanikisha mipango yetu
iliyobaki.Pale SNSA kuna
kila kitu tunachokihitaji ili
kutusaidia kufanikisha
mipango yetu”akasema
Sandra
“That’s a good idea.Una
akili sana Sandra”akasema
Austin
“Wazo hili linastahili
tuzo” akasema Gosu Gosu na
wote wakatoaa kicheko
“Ahsante kama nyote
mnakubaliana na wazo
hili.Nani basi kati yetu
ambaye tumpendekeze awe
mkuu wa SNSA endapo Rais
atakubali? Akauliza Sandra
“Austin anafaa sana”
akasema Agatha
“Mimi hapana.Tayari
mimi ni mkuu wa kikosi cha
operesheni maalum hivyo
nafasi yangu naomba ibaki
hivyo hivyo.Kwa nini asiwe
Gosu Gosu?
“Me ?akauliza Gosu Gosu
na kucheka
“I’m a killer.Nikipewa
nafasi hiyo kila siku watu
watakuwa wanakufa”
akasema Gosu Gosu na wote
wakacheka
“Seriously I’m not fit for
that position lakini kuna mtu
ambaye anaweza akafaa
sana katika nafasi hiyo”
akasema na kunyamaza
“Nani ?akauliza Austin
“Ruby”
“Ruby?
“Ndiyo.Anafaa sana kwa
nafasi hii.Tukimuweka pale
SNSA nina uhakika kila kitu
kitakwenda vizuri”
“Whos’s she?akauliza
Sandra
“Ruby ni mchawi wa
kompyuta.Anaijua kompyuta
kuliko aliyeigundua.Kwa
sasa yuko uingereza
anafanya kazi katika
mamlaka kuu ya
mawasiliano ya kiintelijensia
nchini Uingereza GCHQ”
“Wow ! huyo anaonekana
anaweza kuwa chaguo
zuri”akasema Sandra
“She’s more than perfect
for this position” akasema
Gosu Gosu
“Wote tunakubaliana
kwamba Ruby achukue
nafasi hiyo? Akauliza Austin
na wote
wakakubaliana.Austin
akachukua simu yake
akaiwasha na kumpigia Dr
Fabian
“Austin ! Akauliza Dr
Fabian kwa sauti iliyojaa
wasiwasi
“Mheshimiwa Rais
ahsante kwa kupokea simu
yangu.Nahitaji kuonana
nawe”
“After what you’ve done
do you think I’m going to
trust you again?akauliza Dr
Fabian kwa ukali
“I’ve done nothing bad to
you Mr President.Tafadhali
naomba uniruhusu nije
kuonana nawe.Nina jambo la
muhimu sana la
kuzungumza nawe”
“Austin sina muda wa
kuonana nawe!
Naku…………” akasema Dr
Fabian lakini Austin
akamkatisha
“Mheshimiwa Rais kabla
ya alasiri ya leo nchi
itatikiswa kwa rekodi za
mazungumzo yako na Rais
Patrice Eyenga kuhusiana na
mauaji ya Lucy Muganza”
akasema Austin
“Mazungumzo?! Akauliza
DrFabian
“Ndiyo utayafahamu
hapo baadae mheshimiwa
Rais”
“Are you trying to
threaten me young
man?akauliza Dr Fabian
“Hapana mheshimiwa
Rais sina uwezo huo lakini
naomba tusifike huko kwani
madhara yake ni makubwa
hasa kwa upande
wako.Naomba tuonane
mheshimiwa Rais
tuzungumze”akasema
Austin.Dr Fabian akafikiri
kidogo kisha akasema
“Fine.Saa tano za
asubuhi njoo hapa ikulu”
akasema Dr Fabian na
kukata simu


