SINA CHAGUO
Simulizi tamu ya maisha, iliyosheheni visa na mikasa ya kuzisisimua hisia chanya za msomaji. Ukafumbuka macho uone, yazibuke masikio usikize kwa usahihi kila kilichotamkwa na kuzungumzwa na mwandishi kupitia wahisika bora waliochorwa kwa taswira za kuvutia.
Utavutiwa na mengi...
THE STORY MASTER.
Mapenzi,Ujasusi,usaliti na mambo yasiyotazamiwa. BY HANCY ABDON
"SEE ME"
SEHEMU YA KWANZA 1/1O
***** ******
"Mpigie simu Randy mara moja mtumie location hawahi sehemu ya tukio".
"Boss hata me naweza hiyo kazi nipe tafadhali". Jamaa mmoja akazungumza huku akimtizama boss...
Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
KABURI LA MSOMI.
Karibuni sana wapenzi wa simulizi. Leo naitambulisha kwenu simulizi hii tamu iendayo kwa jina la KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi, maumivu, wivu, usaliti, chuki, mauaji na mikasa mingi ya...
Miaka mingi iliyopita nilikua naishi mbali na nyumbani sababu ya masomo, ghafla nikawa kila nikilala namuota kaka yangu na nikiwa kwenye ukimya nasikia sauti yake.
Siku moja, nimeamka tu asubuhi nikapata msukumo wa ajabu niende nyumbani. Nikakata tiketi ya kurudi home bila kuwaambia wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.