Riwaya: Nitakupata tu

Riwaya: Nitakupata tu

Uandishi wako ulifanya tujuane kama watu tunao onana na kuzungumza kila siku umeondoka ila ramani uliyo ichora na athali ulizoziweka moyoni petu itachukua muda kufutika .Juzi tu ulitoa bandiko kuwa unaumwa na nikakupa pole na kukutakia uponaji wa haraka nawe ukanijibu ibra kwa mungu tumetoka na kwake tutarejea umetangulia ndugu yetu ipo siku nasi tutarejea huko.
 
Jamani ni kweli IBRAHIM MASIMBA amefariki!! Jamani huyu jamaa si mwaka huu alifiwa na mchumba wake pia...oohh Mungu wangu kwa nn haya tena kwa Ibra!! R.I.P IBRA
 
Jamani ni kweli IBRAHIM MASIMBA amefariki!! Jamani huyu jamaa si mwaka huu alifiwa na mchumba wake pia...oohh Mungu wangu kwa nn haya tena kwa Ibra!! R.I.P IBRA
mkuu ni kweli hizi taarifa za msiba.. binafsi sijaamini ndio maana nachelea kutoa pole
 
Ni ngumu kuamini...ibra amezimika kama mshumaa kwenye upepo mkali,Kazi ya MUNGU haina makosa.
 
Nimeona post yake ya jana tarehe 4/7 ..Facebook yaan mshikaji kama aliona kifo chake kabisa..duh kama namuona vile jamani yaan siamini kama ni kweli.. Ibrahim yaan kifua jamani ndo kimesababisha umeiaga dunia kweli...Pumzika kwa amani
 
Mem nimeongea nae akiwa anatoka hospital na akaniakikishia yuko pouwa na amegundulika ana pumu nkakbaliana nikitoka job nitpta Kwak saa mbili napokea taarifa nampgia cm inpkelwa mdog wake wa kiume ananiambia mweny cm amfaliki. Nikatoka hadi kwa dada yake karibu na hospital ya kic1 ni kweli ibu amefariki na msiba upo kisiwani ila wanategemea kusafrisha kwnda tanga. Tutaendelea kufahamishana
Kisiwani ya mwananyamala?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom