Riwaya: Nitakupata tu

Riwaya: Nitakupata tu

Teh... Kumbe Shemela yupo? Kumbe ndio maana fujo zimepungua siku hizi
Yupo sumbai nipo nae kapuku hahah eti fujo zimepungua si unajua tena ukiwa chini ya mtu mwanzo nilikuwa shunie kama shunie sasa hivi namilikiwa
 
mke mwee itakuwa kanichanganya na cute b wa sumbai

Ngoja nimtafute sumbai nimlete akwambie ukweli sumbai wa cute b
Mamy relux,
Kuna sehemu tena sio zaidi ya Mara moja ibra87 amekuwa akisema wewe ni fake I'd yangu.
Sasa sielewi ametumia nini kulidhibitisha hilo.
Ila IBRA labla nikwambie tuu I'd yangu ni cute b , tabia za kulazimisha I'd za watu ziwe zangu sipendi.
Utakuwa umenielewa
 
Aisee yaan napata shida mamy bora umekuja kila siku naitwa shemeji mie mpaka nimekutana na sumbai nikamwambia aje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom