Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,536
- 4,532
Shukrani Mkuu, hata Leo umeirusha, hakika unatuthamini.Shukrani Ibra,tunategemea kualialikwa na ww
Shukrani Mkuu, hata Leo umeirusha, hakika unatuthamini.Shukrani Ibra,tunategemea kualialikwa na ww
Adimu saaana swahiba.Salama Mkuu.. Nipo kipande Hiki mkuu
Hope umeiona japo kiduchu! Jina seba0675191162/0745373585
Minal faudhina NemesisIdd Mubarak Ibrahim Masimba na wapenzi wote wa riwaya za Ibra.
Sumbai bora umekuja ujue ibra ananiita shemeji kwa ajili yako eti ebu mwambie jamaan sijui ananichanganya na cute bNimemukuja mkuuu
Jamaan me mwenyewe nimetoka kualikwaAmfungulie Pm tu wakutane huko.
Shunie shunie popote ulipo unaitwa kwa ajili ya kutoa mualiko kwa ibra
Nimemwita sumbai ujueAdimu kaka haya makitu yananiweka busy mpaka nawasahau maswahiba
Swahiba wangu ibra ananiombea heri, sijui naweza okota dodo chini ya mwarobainiSumbai bora umekuja ujue ibra ananiita shemeji kwa ajili yako eti ebu mwambie jamaan sijui ananichanganya na cute b
Mwache swahiba bwana, tumetoka nae mbali saanaNimemwita sumbai ujue