Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,796
- 5,394
Haikupaswa wewe kunijibu hovyo kama ulivyojibu kwenye comment yako, pale ulipokosea ndugu. MiMi wala sina neno na wewe, uniwie radhi pia. Ila yote yaliyofuata, yalitokana nawe.Kaka naona unanivunjia heshima sasa kuwa muungwana kidogo kuwa ndani ya group la Uwaridi sio kujulisha basi walionje si member lakini kikubwa kuwa Uwaridi sio sifa basi ukionekana huko utakuwa milionea
Sina sababu ya kukuwekea vithibitisho eti kisa tu tunabishana
Lakini kubwa naona hauna staha hivyo naomba tuishie hapa as nimekukwaza nisamehe
Chief
Tangu mwanzo nilikwambia badala ya ww kumshambulia mtoa post basi ungeliwasiaidia watu kuijua Uwaridi App nikakwambia pia mimi nimewasiadia watu kujua App waliokuja inbox nikawambia pia mimi ni mwanachamaHaikupaswa wewe kunijibu hovyo kama ulivyojibu kwenye comment yako, pale ulipokosea ndugu. MiMi wala sina neno na wewe, uniwie radhi pia. Ila yote yaliyofuata, yalitokana nawe.
Mtoa post lazima nimlaumu kafanya kosa kisheria, kukaa kimya kuhusu kosa hilo na kuwaelekeza watu kwenye App isingesaidia kitu. Mwingine anaweza fanya hivyo, ila kupitia hii ndiyo wengine watamaizi hilo halikuwa sahihi. Hupaswi kumtetea, hatuzuii kosa kwa kulikalia kimya.Tangu mwanzo nilikwambia badala ya ww kumshambulia mtoa post basi ungeliwasiaidia watu kuijua Uwaridi App nikakwambia pia mimi nimewasiadia watu kujua App waliokuja inbox nikawambia pia mimi ni mwanachama
Kitu pekee ambacho ningekuona muungwana ni we kuuliza uanachama wangu umekamilika au bado,unakatiba ama la upo ndani ya Dar au nje ya Dar kisha hap ungeniprove wrong na si kama ulivyofanya kwa kunitolea lugha zisizo za kiungwana hiyo si busara but najua nachosema Chief hivyo na tufunge tu mjadala mana malumbano hayatusaidii kwa sasa ila nguvu hizi zielekeze kule kwenye ile blog
Haya sasa sisi wengine tumeshaikosa, pelekeni mkasome nyie na familia zenu ili mfaidike zaidi.Mamaye watu wanataka tuwajue kazi zao haya nendeni na riwaya yenu basii kwani pm hazipo??
umeambiwa utoe 6000 wakuunge uanachama Ua jeupe Stories,Haya sasa sisi wengine tumeshaikosa, pelekeni mkasome nyie na familia zenu ili mfaidike zaidi.
Tuko pamozi Shunie. Nakuona ktk ubora wako mamie. Hongera zaidi ya sana.Niko hapa mkuu asante
Tutatafuta funguo ya kufungiaHii page haijafungwa bado?
Kuna watu na viatukuna watu vimbele mbele wamefanya mpaka hadithi imeishia kati....wanauchungu utasema wanatunga wao.. . eti ntakusemea kwa mwenyewe Kha! aisee wanaume wanakuwa adimu sasa hivi!
Hiki kitabu cha miaka mingi sana mbona.Kwani kimeshatoka? 0753110858 nakitafuta. Mwenye nacho anitafute.