Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Haya tupo kwenye foleni.
Lete vitu mkuu.
 
Usisahau pia: Hofu. Hujuma.
Mazee umenikumbusha mbali sana. Mzee Musiba alikuwa anaandika story anakupeleka kutoka Palm Beach Hotel Dar, Johannesburg SA mpaka Sierra Leone unajiona kama umefika vile.

Hivi vitabu bado vipo madukani?
 
Mkuu kama hutaimaliza hapa useme kabisaa .

Kwa wanao hitaji kitabu cha
1 kikomo.

2; Njama

3; Umsolopagaus.

4; mashimo ya mfalme suleiman.
Anitafute.
Mkuu!
Mm nahitaji vitabu hivi hasa Njama na Kikosi cha kisasi
Naomba namba yako tafadhali
 
Pi pi hatuelewani nimechoka kupiga nolinda!
Baada ya kazi nahitaji kuisoma hii story kwa nguvu sana.
 
Back
Top Bottom