Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Shukran nyingi kwako iddy bado tupo pamoja
Kama kwake kuna ridhaa basi naona shida mkubwa. Poa hicho kijiti nakipokea Mkuu. PM inakuja.
Duuu kweli mkuu lkn kwa upande wake na wangu haina shida coz kabla ya.haya yote nilimwomba ridhaa yake akanambia haina shida. ndio nikaweka hapa ndio maana yeye kaweka mpaka namba yake .mkuu harafu nataka nikutupie kijiti cha queen monica .PM namba yako mkuu
Sasa sibora uache kama unajua huwezi maliza kuliko kutuzinguaMkuu kumbuka hapa burudani hii inatolewa bure harafu kuna maisha nje ya jf wengi wetu humu hilo hatulizingatii sana but huwa tunakuwa wepesi wa kuporomosha lawama na kejeri na matusi kwa watu wanao jitolea.
Harafu hakuna aijuaye kesho yetu so mtu anapokwama kuleta mwendelezo sio makusudi but kuna mambo huwa yanaingiliana san
Asante Iddymniwie radhi wakuu kwa kuchelewa..
SEHEMU YA TANO III NA IV
nipe yote Mtoro8 havanna Shokonzi Mbobo Guasa Amboni njoo kwetu
swahiba92 Jurecafe mwamba c mnadhimu mkuu wa jf finyango kisukari chenjichenji inabhanza zulu lima Mussolin5 Shunie Pancho panchilo LEGE Ls man Evarist Massawe Rich Pol Malafyale mtzmweusi Toyota escudo NYANYADO born again pagan Alfa Mwijumbe sirbuff MOI JOHN ngong'0 mwandende Thad URBAN MONKEY y-n Godwin123 Utotole bmy Kibajajitz tonier ngoma ya ukae desertambush jmapunda mwalidebe Dam55 kibuyu180 kulubule Al-Watan hotneedle Nemesis Johape Tumosa
huyo mwadi lazima apite naeHuyu willy nae ni mzee wa totoz asione skirt
Hapana mwadi hakupita nae mwadi alikufa kifo cha kuchomwa kisu kabla ya mambo hayajaiva ila TETE ndio alikuja kumaliza huyu alikuwa bibi wa Muteba mmoja kati ya wamiliki wa garages.huyo mwadi lazima apite nae
Spot on brooo!!...Hapana mwadi hakupita nae mwadi alikufa kifo cha kuchomwa kisu kabla ya mambo hayajaiva ila TETE ndio alikuja kumaliza huyu alikuwa bibi wa Muteba mmoja kati ya wamiliki wa garages.
Yaah aliuwawa kwa kisu chini ya titi nadhani jamaa aliefanya kazi hiyo aliitwa masamba kama sijakosea.Spot on brooo!!...
Jamaa walimtuhumu kwa nini hakutuma jina la Willy!!!
Sa ukose hapa uende wapi sasa mkuuHumu si pa kukosa mtu kama mimi
Ngoja ni sabscraibu kabisaaaaSa ukose hapa uende wapi sasa mkuu