Mkuu upo mkoa gani.vitabu vya joram kiango ni rahisi kuvipata coz mwanae bado analiendeleza gurudumu la marehem babaye.na nimember humu jf pia. Ila vya msiba vipo but ni nadra sana kuvipata ni vya msimu lkn kama upo dar kuna sehem naweza kukuelekeza au kukuunganisha na mtu akakuuzia au hata mkoani akakutumia pia.Iddy eba unanikumbusha mbali sana na hizi riwaya za Elvis Musiba. Please nahitaji kupata vitabu hivi vya willy gamba na joram kiango ntavipata wapi?
Mkuu kumbuka hapa burudani hii inatolewa bure harafu kuna maisha nje ya jf wengi wetu humu hilo hatulizingatii sana but huwa tunakuwa wepesi wa kuporomosha lawama na kejeri na matusi kwa watu wanao jitolea.Mkuu kama hutaimaliza hapa useme kabisaa .
Kwa wanao hitaji kitabu cha
1 kikomo.
2; Njama
3; Umsolopagaus.
4; mashimo ya mfalme suleiman.
Anitafute.
Nakuelewa mkuuMkuu kumbuka hapa burudani hii inatolewa bure harafu kuna maisha nje ya jf wengi wetu humu hilo hatulizingatii sana but huwa tunakuwa wepesi wa kuporomosha lawama na kejeri na matusi kwa watu wanao jitolea.
Harafu hakuna aijuaye kesho yetu so mtu anapokwama kuleta mwendelezo sio makusudi but kuna mambo huwa yanaingiliana san
Mkuu mimi naomba unielekeze kwa hapa Dar,wapi naweza kupata "KUFA NA KUPONA" na hiki "KIKOSI CHA KISASI"?.Mkuu upo mkoa gani.vitabu vya joram kiango ni rahisi kuvipata coz mwanae bado analiendeleza gurudumu la marehem babaye.na nimember humu jf pia. Ila vya msiba vipo but ni nadra sana kuvipata ni vya msimu lkn kama upo dar kuna sehem naweza kukuelekeza au kukuunganisha na mtu akakuuzia au hata mkoani akakutumia pia.
Namba ya mwanae mtobwa/joram kiango 0763044459
ndio nimeingia sijui lini nitawafikia ungeniita toka mwanzoTumosa Na Shunie Kikosi Cha Kisasi Imeanza Pitia Huku Wakati Unaendelea Kumsubiria LEGE
Asante iddySURA YA TATU NA YA NNE TAYARI WAKUU
Cc@nipe yote Mtoro8 havanna Shokonzi Mbobo Guasa Amboni njoo kwetu
swahiba92 Jurecafe mwamba c mnadhimu mkuu wa jf finyango kisukari chenjichenji inabhanza zulu lima Mussolin5 Shunie
AsanteNaomba niwatoe hofu, tupo hapa hadi mwisho wa riwaya hii. Msiwe na wasiwasi kabisa
Eee bhanaeee safi sanaSEHEMU YA TANO I NA II
nipe yote Mtoro8 havanna Shokonzi Mbobo Guasa Amboni njoo kwetu
swahiba92 Jurecafe mwamba c mnadhimu mkuu wa jf finyango kisukari chenjichenji inabhanza zulu lima Mussolin5 Shunie Pancho panchilo LEGE Ls man Evarist Massawe Rich Pol Malafyale mtzmweusi Toyota escudo NYANYADO born again pagan Alfa Mwijumbe sirbuff MOI JOHN ngong'0 mwandende Thad URBAN MONKEY y-n
Naomba kuongezwa hapo mkuu
Mkuu upo mkoa gani.vitabu vya joram kiango ni rahisi kuvipata coz mwanae bado analiendeleza gurudumu la marehem babaye.na nimember humu jf pia. Ila vya msiba vipo but ni nadra sana kuvipata ni vya msimu lkn kama upo dar kuna sehem naweza kukuelekeza au kukuunganisha na mtu akakuuzia au hata mkoani akakutumia pia.
Namba ya mwanae mtobwa/joram kiango 0763044459