Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hahahah na kweli aiseeNi kazi ngumu sana Kibajaji lkn maadamu umejitolea kutuburudisha tunakuomba usichoke mkuu...
hahahah na kweli aiseeNi kazi ngumu sana Kibajaji lkn maadamu umejitolea kutuburudisha tunakuomba usichoke mkuu...
Mwambie kibajaji akuje bhanajamaan![]()
![]()
Hujakosea ni kweliii kabsaaHii jamaa wanatoa mpiganaji blogspot
Prove me wrong
Sio kwmba Blogspot ndio wanatoa humu? Hata mm nilicheki nikaona zote zimeishia pamoja sasa sijajua nan alikuwa wa mwisho.Hii jamaa wanatoa mpiganaji blogspot
Prove me wrong
Alianza kule na huku inaletwaSio kwmba Blogspot ndio wanatoa humu? Hata mm nilicheki nikaona zote zimeishia pamoja sasa sijajua nan alikuwa wa mwisho.
Kibajaji ukuje jamaan watu watakufwaMwambie kibajaji akuje bhana
Ukipata nafasi iendeleze mkuuNatamani ningeendeleza ila nafac imebana polen..nina hicho kitabu
Mnajua kazi ya kutype ilivyo ngumu?mtu Capitola halafu mnamlaumu?si vizuriHana riwayà yote huyu yupo anasubiri ipostiwe kweye blog ndo aikopie huku! Cha msingi ni uvumilivu tu ipostiwe kule ndo na huku tuipate
Mkuu jitahidi hata utupatie ukurasa mmoja tuNatamani ningeendeleza ila nafac imebana polen..nina hicho kitabu