king of zodiac
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 311
- 432
- Thread starter
- #121
Sasa hivi namalizia hapaMkuu king kwema Lkn! Tuwekee vitu Mkuu vya kulalia.
Sasa hivi namalizia hapaMkuu king kwema Lkn! Tuwekee vitu Mkuu vya kulalia.
Hahahaha mambo mazuri hayahitaji haraka leo nitashusha chapter mbili leo tuende fasta kiisheShusha kidogo basi ka kuanzia siku maana si unajua tena kaz na dawa!!
Usinisahau aisee. Mm nilikuwa mvivu wa kusoma vitabu. Ila Willy gamba kanishawishiNikimaliza hii nitawaletea masimulizi ya vita ya pili ya dunia videos za battles zote kuanzia battle of stalingrad mpaka battle of berlin, very interesting nataka tujifunze uzalendo kidogo
Umenikumbusha Enemy at The Gate!! Vassil Zeitsef kijana noma sanaa na Major Konig mzee wa kudungua.Nikimaliza hii nitawaletea masimulizi ya vita ya pili ya dunia videos za battles zote kuanzia battle of stalingrad mpaka battle of berlin, very interesting nataka tujifunze uzalendo kidogo
Hii documentary ni noma mpaka na wewe unajihisi upo vitaniUmenikumbusha Enemy at The Gate!! Vassil Zeitsef kijana noma sanaa na Major Konig mzee wa kudungua.
AMINIA KING NASUBIRIA KWA HAMU SANA KITAKACHOJIRI MKUU.Hahahaha mambo mazuri hayahitaji haraka leo nitashusha chapter mbili leo tuende fasta kiishe