Riwaya: Kikomo

Kiongozi naomba uwe unanitag maana huwa sikosi story zako hapa

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
dah....@king of zodiac nashkuru sana kwanza kwa riwaya ya kikomo, nakiri nilikuwa sijawahi kuisoma, ni katika riwaya nilizokuwa nazitafuta sana.

nikilinganisha kikomo na kikosi cha kisasi, naona tofauti kubwa kwa mwandishi kuonesha umahirii mkuwa zaidi kwenye KK kama ile kukua kiuandishi

asante sana ngoja nijikumbushie njama sasa
 
Daaaaah!!! Njama imesimama si kitotooo!!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee King of Zodiac kama vp weka mzigo wa HOFU maana nshakua Addicted

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mzigo wa hofu na njama nahic Humu jamii forum IPO

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kama riwaya YA karatasi za Siri weak au hata riwaya za ben mtobwa(joram kiango)

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kikomo
Hofu
Kikosi cha kisasi
Njama
Bado kufanya na kupona, Uchu, vitabu vzr sana
 
Si kazi yangu kujishughulisha na makosa ya jinai. nilishangaa kidogo chifu aliponiamuru nifuatie tatizo la upungufu wa almasi.
Isingekuwa kwa sura aliyoonesha nilitaka kumwambia apeleke malalamiko yake kwa kamishna wa polisi au anipr uhamisho wa kwenda huko kama alikuwa hanihitaji katika idara yake.
Siku hiyo alivaa sura ya kutisha na sikuwa na la kufanya ila kukubali. Kulikuwa na ushahidi kwamba almasi zilizouzwa katika masoko nje ya nchi zilikuwa chache sana kulinganisha na kiasi kilichokuwa kinachimbwa kwa nini?
Idara ya upelelezi ya makosa ya jinai imejitahidi bila mafanikio. Askari polisi joel amegusa chanzo cha uhalifu akafa kayika ajali ya ndege siku chache kabla ya kufunga ndoa na mchumba wake amanda na uhalifu ukaendelea
Chifu alimtuma jack mbwile mpelelezi wa kawaida lakini maiti yake iliokotwa ikielea ziwa victoria na uzito wa jambo zima ukawa umetambuliwa. Ndipo nikatumwa mimi willy gamba

ITAENDELEA
Safi sana
 
Asante Sana kiongozi nimekumbuka mbali Sana nilikua darasa la tatu Sasa kumbe liwaya zenyewe zilikua zinafichua maovu waliozikataza ndo walewale kina khasimu omary na erugata wasariti wakubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom